Current four star Generals in Tanzania

Ukistaafu ina maana cheo nacho ndio basI? Wakina Mwamunyange, Waitara, Mboma hawawezi kuitwo in case of emergency?
Mi najua wanajeshi huwa wanastaafu lakini bado wanaweza tumika inapotokea emergency kulingana na uzoefu wao...
 
Field Marshal kiuhalisia siku hizi hicho cheo ni almost hakuna, mara ya mwisho walikuwepo world war 2 huko, maana unakuta jeshi lina watu milion 4. Sasa hivi hakuna hayo mambo, na sidhani kama yatatokea
Au kipo kisiasa/ceremonial zaidi.

Leo nilikuwa naangalia Prince Philip mume wa Malkia wa Uingereza anazikwa, wamemtaja vyeo vyake, kumbe naye alikuwa Field Marshall.

 
Ukijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
Kwani jeneza la rais lilitakiwa kubebwa na Maafisa wenye cheo gani?
Au unadhani wale waliobeba ndio sahihi??
 
Mkuu NN ninaposema umeyaangalia kwa mtazamo wa US sina maana mbaya.
Si wewe tu influence ya US ni kubwa sana na hilo ni kwa ukubwa wake

Maana yangu ni kuwa, ukitazama kama US 4 star G ni 45 hakuna tatizo vipi iwe tatizo kwetu

Yes, lakini kumbuka kuwa Pentagon ni taasisi kubwa , imara na inayojitegemea
Kama ulisikia habari za 70s katika Africa ilikuwa coup de tat kila asubuhi na waliohusika ni Wanajeshi

Kwa muktadha huo katika developing countries military institutions si kama za nchi zilizopiga hatua
Angalia nini kimetokea Nigeria! Ilikuwa ni kuzidiana kete kwa generals tu hadi miaka ya karibuni.

Ni kwa msingi huo hata upataikanaji wa viongozi ni siri na hauhojiwi. Tunarudi pale pale ni kwa merits lakini appointment ni kisiasa.
 
Ukijua jibu la lt colonel kukomalia kujiita colonel jua tayari nilimsha kujibu. Pia jifunze kitu kwenye ubebaji na usindikizaji wa jeneza la mwenda zake.
Dogo Lt colonel ni senior officer katika JW
Junior officer ni luten Usu hadi captain
Senior officer ni major hadi kanali
Generals wanaanzia Brigedia ambaye ni general wa nyota moja hadi hadi 4 star general ambaye ni Full general kwa nchi yetu anakuwa CDF
 
Kwani jeneza la rais lilitakiwa kubebwa na Maafisa wenye cheo gani?
Au unadhani wale waliobeba ndio sahihi??

Na fikiri wa cheo sawa na cha mpambe wake na kusindikizwa na walio wazidi hawa wabebaji kwa jiwe moja.
 

Wewe angalia hata waongoza magwaride ya kitaifa ambayo ni routine acha yale maalumu kama miaka hamsini ya uhuru.
 
Hivi vitoto tunabishana navyo ni kujira tu mwenyewe

Huwezi kunipunguzia wafuasi kwa style hii. Kazi ni ifanyayo hapa ina mkono wa Mungu wa Mbinguni. Hii ya vyeo vya wanajeshi ni matokeo tu.
 
Nikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.

Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.
Ni sawa na POLICE.
ACP, SACP, DCP wote hupenda rank ya CP. Yaani hupenda kujiita Commissioners of Police. Hata kama kiukweli wote wameshafika kwenye rank iliyo kwenye field ya CP, lakini hapo kuna Assistant Commissioner of Police, Senior Assistant Commissioner of Police, Deputy Commissioner of Police na Commissioner of Police.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sitafuti wafuasi na wala sikupunguzii wafuasi wako ila tu nakuuliza hayo mambo ya vyeo unayaishi au unasimuliwa tu kama hadithi za kusadikika??

Nimesimuliwa kwenye kijiwe cha gahawa
 
Na fikiri wa cheo sawa na cha mpambe wake na kusindikizwa na walio wazidi hawa wabebaji kwa jiwe moja.
Ngoja nikutoe tongo tongo, Brigadier akifariki jeneza lake linatakiwa libebwe na mabregadier wenzake. Je vipi kwa Commander in chief?
Iko namna ila tu hujui kujieleza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…