Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Miaka ya nyuma nyuma kipindi nimejiunga tu Jf
Kuna mtu nilimcrush jamani and He knows
Ila akili hizi😂😂😂😂.
Kuna watu wana character nzuri hadi unatokea kuwapenda tu
Wadada
@waangari maathai
Na dada zangu wengine sina haja ya kuwataja,wananijua
Nawapenda sana,
Mungu awatunze.
 
Back
Top Bottom