Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! πŸ‘€

Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? πŸ˜„

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani πŸ˜„

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
πŸ‘‡
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❀️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidiπŸ’

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls πŸ‘‡

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani πŸ‘πŸ†
win-one kakorofi hakaπŸ€ͺ

ShesRise_1 🀚
Crush wangu wa milele hapa jukwaani ni Luckyline. Kwa mguu ule mimi nilifwaariki.
 
Back
Top Bottom