ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,833
- 44,484
- Thread starter
- #581
So unatutishia au🤣🤣endeleeni kuchart ila ikifika saa 6 mnipishee nitamuita crush tuje kujimwaya😋 nimetoa tangazo rasmi
So unatutishia au🤣🤣endeleeni kuchart ila ikifika saa 6 mnipishee nitamuita crush tuje kujimwaya😋 nimetoa tangazo rasmi
Kwa sababu mimi ni mtu wa kale,ila bado napenda kale kamchezo.😋Mvii zimetamalaki 🤣
Kwanini unaongea kiswahili cha kale🤣🤣
Yule jamaa wa nyuzi zenye hoja nzito ni MALCOM LUMUMBA na sio yule mod waliye mtajaMvii zimetamalaki 🤣
Kwanini unaongea kiswahili cha kale🤣🤣
Sawa nshakufahamu ☺️Kwa sababu mimi ni mtu wa kale,ila bado napenda kale kamchezo.😋
MashaAllah 🤗 Achukue maua yake 🌹Yule jamaa wa nyuzi zenye hoja nzito ni MALCOM LUMUMBA na sio yule mod waliye mtaja
eh natoa tangazo badae msianze kushangaa 😄So unatutishia au🤣🤣
Sawa mkuu😀Nasubiri simu yako,nihudhurie seminar
Silali ng'ooeh natoa tangazo badae msianze kushangaa 😄
Jf hailipiMwanangu mbona siku hizi hushushi nyuzi za mapishi?
Wewe umeua aiseee🥱🥱crushing myself Lamborgini
🤣🤣🤣sasa kwani nikiwa mtu ndio nini Mwachi?we nitafute twende zetu beach tulivu tukayajenge
SawaNikitajwa mniite
Nampenda sana aisee nisaidie kumwambia😂Hatimaeeee
Tresor Mandala 🤣🤣
Nimesha mtag akija nitakusaidia kugongelea na nyundo love tulia sasa 😊Nampenda sana aisee nisaidie kumwambia😂
Nitashukuru sana😘Nimesha mtag akija nitakusaidia kugongelea na nyundo love tulia sasa 😊