mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 22,760
- 45,596
😄😄🫶🫶mimi naku crushia pia sijui mwenzangu 😊
😄😄🫶🫶mimi naku crushia pia sijui mwenzangu 😊
Ewaa swadakta kabisa,MkuuSi mchezo,tungoje kwanza vizazi vya mbele yetu wamalize kukrashiana then tuone sisi tunabaki na nani
Sana mjukuu🤣🤣Dah aiseeee issue ilikua deep
My all time crush Mtaalamu Wa Jukwaa La Tech
Asante bro mshirika kwenye uwanja wetu ule🍆🍑Kwa generation yenu nawacrushia wewe ShesRise_1 na win-one
SawaSana mjukuu🤣🤣
Jambo la kibaiolojia / kiuumbaji 😘Asante bro mshirika kwenye uwanja wetu ule🍆🍑
Daah! 😄😄Tukiwa tunachat PM hana noma ila humu jukwaani nikimwita babe ananiambia nijiheshimu, we dada mi nakuchana tu malipo hapa hapa ahera kuhesabiwa.
Mdaka chozi🤣🤣Una msaidia kuchunga mali yake , wanaita mshika mapembe😅
are you a man or woman coz hapo kwa kweli umetisha and i will respect you kiongozi hata kama wewe ni mlokolenism na mimi ni mkonyaginism. Ila utani wangu nikutania usichukue serious sana
🤣🤣🤣 hawezi filisika yule aisee!😀😀😀
Atakuwa amefirisika
KweliMdaka chozi🤣🤣
Manare you a man or woman coz hapo kwa kweli umetisha and i will respect you kiongozi hata kama wewe ni mlokolenism na mimi ni mkonyaginism. Ila utani wangu nikutania usichukue serious sana
Mdaka chozi sio mbaya, wakati wowote jambo linatiki🤣Kweli
Yote utani tu , ila kiuhalisia sidhaniMdaka chozi sio mbaya, wakati wowote jambo linatiki🤣
poa chief na kama hujaoa ntakupa mdogo wangu lakini ana watoto 3 kila mtoto na babake
Yes nataka jina halisi jinsia na umri ili niweke kwenye rekodi zangu vzrAsante salamu nazipokea mtoa mada 🤣🤣🤣
Et hujui jina lake 😁
Hahah atakuwa amepata vijana wa afumbili🤣🤣🤣 hawezi filisika yule aisee!