The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,268
- 118,538
Huu uzi unaweza kutajwa ukafikiri ni kweli,
Kumbe kamdada ka watu kanataka tu kuwatambia wenzake.
Kumbe kamdada ka watu kanataka tu kuwatambia wenzake.
Ujue Mimi na min -me , hatujawai onana ila sema Mimi na damu ya kibororoni upande mmoja wa mzazi wanguMnaotaja wanaume/wanawake wenzenu mnaboa!
Tajeni jinsia tofauti ndo inanoga
Nn wewe😆😆😆Huhuhuhu huhuhu 🔥🔥🔥
Dah we jamaa😅Huu uzi unaweza kutajwa ukafikiri ni kweli,
Kumbe kamdada ka watu kanataka tu kuwatambia wenzake.
Hahahaha,sawa sawa MtumishiWa kupeana connection mkuu
Ndio babe sio mpka wawe wa penzi huoni mi nina list yangu😊Nn wewe😆😆😆
Si umesema ht anbao sio wapenzi
Huyu wa connection
😅😅😅😅 asalaleeeeeeeesa mbona huyu crush wangu kasha crushiwa😪🤔 mi najilipua aibu mtaona nyie😜
Ulifikiri nadanganya? Nilikuwa nikiingia jf lazima nipitie kwanza vyote alivyoandika ndio sasa nianze kuzurura kwingine🤣🤣Kumbe kweli babu dah 😅😅
Hahahaha,Mimi simjui,so kutaja ngumuMtaje wewe🤣
Dah aiseeee issue ilikua deepUlifikiri nadanganya? Nilikuwa nikiingia jf lazima nipitie kwanza vyote alivyoandika ndio sasa nianze kuzurura kwingine🤣🤣
Jf sio sehem ya kuwa seriousHuu uzi unaweza kutajwa ukafikiri ni kweli,
Kumbe kamdada ka watu kanataka tu kuwatambia wenzake.
Uje kwa matarimo kuna bohora lakoNa iheshimiwe🤣
For real aseeMnaotaja wanaume/wanawake wenzenu mnaboa!
Tajeni jinsia tofauti ndo inanoga
Ni kweli aisee,Jf sio sehem ya kuwa serious
Jiki ni kijiwe tu😁😁
Ni kweli wala sio uongo, huyu bibi yako hadi akawa na kauchizi flani hivi. Sema kisicho rizki hakiliki🤣🤣🤣Kumbe kweli babu dah 😅😅
😍😍😍
ShenziiiiiNi kweli aisee,
Unaweza kumtaja mke wa mtu humu au Mama yako mdogo bila kujua coz tunatumia fake ID's
Au unaweza kumtaja mtu hapa kumbe huko mtaani unamdai na anakuzungusha kila siku.
Dah pole yake😢😅Ni kweli wala sio uongo, huyu bibi yako hadi akawa na kauchizi flani hivi. Sema kisicho rizki hakiliki🤣🤣🤣