min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,459
- 171,547
Bora mmalizane humo humo pm , jukwaani mikausho mikali , ukijianika tu kuna miamba inakuona goigoi 😃Enzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sana
Binafsi nilijua chitchat,kumbe niliyemtaja ana mingle zako nyingi jukwaani na PM