Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,717
- 62,667
The one and only kampelewele ,.
Big daddy mwenyewe 😁😂
Big daddy mwenyewe 😁😂
SafiiiMiaka ya nyuma nyuma kipindi nimejiunga tu Jf
Kuna mtu nilimcrush jamani and He knows
Ila akili hizi😂😂😂😂.
Kuna watu wana character nzuri hadi unatokea kuwapenda tu
Wadada
@waangari maathai
Na dada zangu wengine sina haja ya kuwataja,wananijua
Nawapenda sana,
Mungu awatunze.
MashaAllah 🤗The one and only kampelewele ,.
Big daddy mwenyewe 😁😂
Ndio vizuri sasa🤣🤣Mashirima hana siri shindii😅
🤣🤣🤣🤣 wangu au wako?Unajua mwenyewe ni kuhusu crush 🤣🤣
Sasa hivi na machimbo mapya ,kwa matarimo masilayo na makavishe🤣Ndio vizuri sasa🤣🤣
Maana ukishalewa unajijua!
Mi ninao wengi si uliona mkeka ajabu ukajichagulia mmoja uka mng'ang'ania🤣🤣🤣🤣🤣 wangu au wako?
Umekunywa chai😊Huu uzi una dalili ya upinde. Ngoja nipite kama naaga maiti.
Tuanze na kwa masilayo kwanza, nina jambo langu🤣Sasa hivi na machimbo mapya ,kwa matarimo masilayo na makavishe🤣
Kwanini shindii🤣Tuanze na kwa masilayo kwanza, nina jambo langu🤣
Mjukuu wewe kama mimi tu, unacrush akili🤣🤣🤣Mi ninao wengi si uliona mkeka ajabu ukajichagulia mmoja uka mng'ang'ania🤣
Kule huwa kuna wababa🤣Kwanini shindii🤣
Sidhani 😅Kule huwa kuna wababa🤣
Shindii hupendi kabisa maendeleo yangu🙆♂️🤣Sidhani 😅
Na yapinga kwa wivu mkubwa sanaShindii hupendi kabisa maendeleo yangu🙆♂️🤣
Mbona mimi niliwaona?Na yapinga kwa wivu mkubwa sana
Shenziiii zako bibi 🤣🤣Mjukuu wewe kama mimi tu, unacrush akili🤣🤣🤣
Hivyo huwezi nidanganya.