Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,950
- 183,443
🤣🤣🤣🤣Nina kesi na wewe nzitooo
Kesi gani tena jamani?
🤣🤣🤣🤣Nina kesi na wewe nzitooo
Mmmh , sidhani kama unamfahamuHuyo namfahamu🤣🤣🤣
Upo?Miaka ya nyuma nyuma kipindi nimejiunga tu Jf
Kuna mtu nilimcrush jamani and He knows
Ila akili hizi😂😂😂😂.
Kuna watu wana character nzuri hadi unatokea kuwapenda tu
Wadada
@waangari maathai
Na dada zangu wengine sina haja ya kuwataja,wananijua
Nawapenda sana,
Mungu awatunze.
Kwan me nimeongea tofauti kaka😃Kaka Mimi Gunman , huyo Dada yangu Mimi namlinda jukwaani dhidi ya Mafia wa Ghayos gang 😆 😂
Nam shindii 🤣Shindiiiiii🤣🤣🤣
Namfahamu.Mmmh , sidhani kama unamfahamu
Nakuona nakuona🤣🤣Nam shindii 🤣
Hamna kwa vile wazee wengi walisha tangulia baba zetu wamekuwa wa mjini mjini na movement za kidini nazo halafu sisi vijana ndio kabisaaa.Kweli mambo yamebadilika sana , nakumbuka mburu ikashinjo , nyama yo lasma mkaringana na iyombo kitutu , ila kwa sasa hiyo kitu hakuna😅
Hongera,mbo yasiwe mengi,humu 🆔 zinabadilika kila sikuNamfahamu.
Nimeshauriwa nitumie magadi yana safisha nyota.Unaenda kuogea kwa wapi? Kuna kitu nataka kuja kuona
Twende kwa matarimo leo😊Nakuona nakuona🤣🤣
Iransijui kafia wapi.
Kwahiyo mashirimaa ndio umemkimbia🙆♂️🙆♂️Twende kwa matarimo leo😊
Hiyo inaitwa match made in heaven, hivyo inabidi tu usijibanie, fanya kweli🤣🤣Unaeza crush MTU ukijua ni MPYA kumbe watu wamebadili 🆔,ni yule yule wa zamani
Mashirima hana siri shindii😅Kwahiyo mashirimaa ndio umemkimbia🙆♂️🙆♂️
Unajua mwenyewe ni kuhusu crush 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kesi gani tena jamani?
🤣🤣Marco Seth nom sana huyu jamaa
Kuna tatizo gani kuhusu hilo?Unaeza crush MTU ukijua ni MPYA kumbe watu wamebadili 🆔,ni yule yule wa zamani