Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

🤣🤣🤣 aloo wewe ni Tayana?

Mtaje tu mahi kwani kuna shida au utapeperusha ndege 😂
Yeah unajua nimerudisha username yangu watu walishaizoea ile
Hahaha 😁 😆
No siwezi mtaja sio vzr ...tunawasiliana kupitia other mitandao ...mkaka mzuri ndo maana nilimkataa nilihofia kulalwa na kuachwa
Juzi kati kanikumbusha nilivyomkataa nikamwambia ukweli ....akasema mawazo ya kijinga hayo, who knows 🤷‍♂️ ingekuwaje....
Na hajaoa😆😆😆
 
Back
Top Bottom