ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,678
- 76,173
Wambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
Wambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
😎😎😎nisije vamiwq bureNdio babe sio mpka wawe wa penzi huoni mi nina list yangu😊
Sawa sawaJf sio sehem ya kuwa serious
Hiki ni kijiwe tu cha kutoa stress 😁😁
Sio ukorofi huo babe 😅😅hapo kwangu umensingizia kabisaa mi sio timu korofi jamni 😄😄😄😄
Hahahaha,kama utani kumbe...MTU anakuvizia kweliWambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
Una msaidia kuchunga mali yake , wanaita mshika mapembe😅Watu wabaya sana🤣🤣
Work out dear😎😎😎nisije vamiwq bure
Ktk ubora wako😅😅😅Wambea tupo tunaangalia nani na nani wanaviziana
Babuu😊😊❤️❤️Nashukuru hata mjukuu wangu ShesRise_1 kani-crush , maana unaweza kuta uzi una page 200 hakuna hata mmoja wa kuku-crush.
Asante mjukuu, kikao bila wazee ni batili kabisa.❤️
😀😀hakuna wa kunifqnya chochote....Work out dear
Aaah Sio yeye! Crush wangu sijui kapotelea wapi nina miezi sijamuona🥲Crushie wako The Icebreaker mshahamia PM? 😂🤣
😅 hatari sanaHahahaha, Michezo ya humu naijua
Utafanyaje nakujua mpolee😊😀😀hakuna wa kunifqnya chochote....
Hawataamini watakachokutqnq nacho
ila ni ukorofi upi sweet😊😄Sio ukorofi huo babe 😅😅
Enzi hizo JF Ile , niliwahi kujifanyia crush wa mtu, kumbe bana niliingia Mitaa ya MTU, nilipata tabu sana😅 hatari sana
pole sana dogo😄Kwenye nyuzi kama hizi wengine tunaishia kuumia tu...
Ngoja tuone.
Wala na utu uzima huu ...sina energy hiyo labda mtu a-cross line....😃😃😃Utafanyaje nakujua mpolee😊