Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Dah! mkuu kilichonifanya nikucrush ni jana et jf kuna nini thread ni nyingi au kuna mashindano... umeshindwa hadi kucoment dah umetisha
usijali mr. mimi napenda kuchukua some contents from jf na kuzifanyia kazi and soon nitarelease some videocally so usijali. Ila kusema kweli jana na juzi kila mda nikiingia jf nakutana na started threads kila mda. Kumbe na wewe uliona
 
Sawa mkuu!
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❤️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls 👇

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪

ShesRise_1 🤚
Kama hili zee halipo kwenye kalasha lako la mzee hovyo basi huu uzi ufutwe...🫣
downloadfile-5.jpg
 
Back
Top Bottom