secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 22,831
- 47,862
Nilikuwepo kwa ile ID imtukuzayo mungu kutwa. Nimegundua watu wengi wanahitaji sana huduma ya kiroho.Hahahaa. secretarybird mwenyewe sijui kakumbwa na nini huko aliko tangia tuesday mpaka leo hajaingia jf na sio kawaida yake ujue.
Au naye anamiliki Miaidi kede kede. 😃