Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,097
NaamMtumishi
NaamMtumishi
HahahahaMtaje 😀😀
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 🫂Wow, asante sana my crush, The Thinker is a big compliment 😄,
i'll do my best kuendelea kukupa sababu ya kutabasamu kila nikichangia. Much love Madam! ❤️
Mtaje,kwa sauti kubwaNaam
🐒Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
Watu ninao wa crush jukwaani
For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠
Mshana Jr my Dad ❤️
Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒
ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌
Kwa girls 👇
binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪
ShesRise_1 🤚
Punguza u serious ufurahie maishaHahahaha, Michezo ya humu naijua
Hongera yako crush kakujibu vizuri hadi rahaaa♥️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 🫂
Acha janja janja shindii. Mtaje kama unavyomtajaga ukilewa🤣Mimi na wanangu wa bia kina
Seran
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Dr am 4 real PhD
Vishu Mtata
leo dada
Castle_Lite
tukiwa kwenye vibe letu ni 🔥 tu🤣
Wanadanganyana tu hao.Hongera yako crush kakujibu vizuri hadi rahaaa♥️
Naongezea HawaMimi na wanangu wa bia kina
Seran
MENEMENE TEKERI NA PERESI
Dr am 4 real PhD
Vishu Mtata
leo dada
Castle_Lite
tukiwa kwenye vibe letu ni 🔥 tu🤣
Wivu unakusumbuaWanadanganyana tu hao.
Wqpo wengi ila nitamtaja mmoja awawakilisheMtaje,kwa sauti kubwa
Na enjoy SANA humu, Rafiki, Sina u serious wowotePunguza u serious ufurahie maisha
Mda mwingine demu ukijua scandal zake kuna namna inakata bn, mfano we saiv umchukue ex wa Min Me utashindwa hata kumsifia hapa jukwaani we ukisema demu ana harufu ya asili yeye atasema mdomo wake unatoa harufu ya kitunguu.Halua haina makombo bwashee,
Kila mtu ale kwa wakati wake,
Kwani baada ya kutumiwa si hua inaoshwa.
Shindii ushakunywa mbege iliyo lala 😅Acha janja janja shindii. Mtaje kama unavyomtajaga ukilewa🤣
Mnaotaja wanaume/wanawake wenzenu mnaboa!
Umetisha Mtumishi, km wako wengi hao watakua watendajiWqpo wengi ila nitamtaja mmoja awawakilishe
Nyege zinatuponza sana mwanangu.🤣🤣🤣🤣🤣Dahh watu mna maneno
Punguza userious bwana. Mtaje yuleeeNa enjoy SANA humu, Rafiki, Sina u serious wowote