ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,850
- 44,538
- Thread starter
- #41
Nitataja nita edit kwenye uzi kule juu mahiHivi kumbe wewe hujataja?
Nitataja nita edit kwenye uzi kule juu mahiHivi kumbe wewe hujataja?
Acha janja janja mjukuu, hebu wataje bwana!Nitawataja juu kwenye uzi nitaenda ku edit kule juu
Sina pakumpata hata.. last login 2023.. sijui ni mzima au vipi.. na mtu pekee ninayejua alikuwa anamjua & wana wasiliana ni Late Vale..Nimeishia hapo kwenye libaba li zuriiiii
Pole maa huna namna ya ku mpata tena ?
Umeamua tu kunitoa unyonge bhana,sio kweli.
🤣🤣🤣 looh!Umeamua tu kunitoa unyonge bhana,sio kweli.
😀
Enheee! zipigwe sasa,mshindi ndio aondoke na chake,🤣🤣🤣🤣 aje afanye nini?
Dah🌚 sijui hata niseme nini...Unajua hata wewe nakucrush
Ulivyojiunga ulikuwa hueleweki,ukapata short break sijui ilikuwa ban ile ulivyorudi ulikuwa unatema madini tupu 😂
Nipo kwa I'd hii shindiiMy all time crush sijui alipotelea wapi. Yaani nilikuwa nikiingia jukwaani lazima kwanza nitafute kakomenti nini🤣🤣🤣
Kama unamjua mtaje,kama unamjua mtaje....Wewe huna unae m crush mkuu😆
Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄
Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.
Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?
Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No
Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.
Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄
Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?
ShesRise_1 🤚
Simjui🤣🤣Kama unamjua mtaje,kama unamjua mtaje....
Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya 🥰 au 😍