Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Vijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day 👋
Kama umeona umechelewa kuwaambia ungeuchuna tu mkuu

Being too serious doesn't mean you know everything

Sometimes people stay quiet simply because they don't know
 
Vijana wote wa kiume mliokoment humu nilitamani niwaambie toka mwanzo ila nimechelewa nachoweza kuwambia tu ni kwamba "If you build in silence your enemy won't know where to attack"
Have a good day 👋
Nyie ndo insecure men, in the mask of toxic masculinity. Kwani kama unampenda mtu ukamtaja kuna shida?
 
Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .

She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .

Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya 🥰 au 😍
:ABDULpls::ABDULpls::ABDULpls:
 
Back
Top Bottom