Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 53,271
- 129,372
Nitulize kiherehere Au Sio 😎Mimi mwenye uzi sija crushiwa who are you bro😅😅😅
Nitulize kiherehere Au Sio 😎Mimi mwenye uzi sija crushiwa who are you bro😅😅😅
hunaaaaaa😅😅😅😅View attachment 3630323
Sijatajwa sina mtu wallah 🥲
Nimeku-crush mjukuu! Haiwezekani hadi mda huu hujapata crush na babu yupo!🤣Mimi mwenye uzi sija crushiwa who are you bro😅😅😅
Ikati lekeende mbora mleu🤣hahaha kweli aisee, aika mbee, nongenenga njia
Mgawe kwa secretarybird Dada utakuwa umefanya jambo la maana kwa maendeleo ya Taifa hiliUwiiii! Pacha nakugawa. 🤣🤣
Washamtaja wadau tayarikusema utarudi kuchungulia kwenye comment ya watu😅
Acha basi sawa babu yangu mzuri🤗Sijasema mimi mjukuu, sina maķandokando na sina mtu anayenicrush, wewe tu ndio umemcrush babuu🤣
HahahahaNdio mjukuu, unaweza kumtaja mtu kumbe kuna mwenzako yupo pembeni anaona wivu hatari.🤣
Yes mwaka huo ulikuwa lakwanza C🤣🤣Kumbe na wewe ulijoin 2014
Sijaona ulongoooNimeku-crush mjukuu! Haiwezekani hadi mda huu hujapata crush na babu yupo!🤣
Form 1 BYes mwaka huo ulikuwa lakwanza C
Basi nakufungulia uzi kabisa mjukuu💪Sijaona ulongooo
Braza sikuoni Jf siku hizi ila kwenye uzi huu ghalfa umeibuka KuniSupprise , umetokea pembeni kama Mpanzu vile😆😂Nikusaidie kumtag braza😃😃😃
Lakwaza la miaka hiyo ni Sawa na form one ya siku hiziForm 1 B
Nifungulie babu yangu 🤗🤗Basi nakufungulia uzi kabisa mjukuu💪
ni zamani bro siku hizi magadi yamechakachuliwa, hata hivyo inabidi nirudi home kwanza nikakate mbuzi sikio, haiwezekani miaka zaidi 12 hapa lakini hamna anae ni crash!Ikati lekeende mbora mleu🤣