Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Ujue Mimi na min -me , hatujawai onana ila sema Mimi na damu ya kibororoni upande mmoja wa mzazi wangu

So Kuna likes na dislikes zetu Zina endana sio uongo.

Au semeja win-one una semaje ngoja nichonge cross za Andy pirlo iviii Lamomy yupo oooh nisije paisha penalty ☺️😊
sameja wangu wa mda wote haujawahi kuchuja nakupenda bureee😍
 
Back
Top Bottom