Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

ni zamani bro siku hizi magadi yamechakachuliwa, hata hivyo inabidi nirudi home kwanza nikakate mbuzi sikio, haiwezekani miaka zaidi 12 hapa lakini hamna anae ni crash!
Kweli mambo yamebadilika sana , nakumbuka mburu ikashinjo , nyama yo lasma mkaringana na iyombo kitutu , ila kwa sasa hiyo kitu hakuna😅
 
Natuma salam Kwa mama Samiyya popote pale alipo

Natuma salam Kwa ephen,

Salam zangu za mwisho natuma mtoa mada sijui anaitwa Nani..


Bila kusahau Ms R popote pale alipo
Asante salamu nazipokea mtoa mada 🤣🤣🤣
Et hujui jina lake 😁
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❤️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls 👇

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪

ShesRise_1 🤚
My crush is one and only Shunie and dada yake Mzigua90
 
Braza sikuoni Jf siku hizi ila kwenye uzi huu ghalfa umeibuka KuniSupprise , umetokea pembeni kama Mpanzu vile😆😂

Braza nitakushitaki kwenye vikao vya Familia 🙃
Braza nilikuwa nimekaa nimetulia nikasema niende Jf kdg nakutana na uzi😃😃sijakaa sawaa comment yako nikasema umeisha wewe😃😃😃
 
Aizrat, huyu demu NAMPENDA balaa sijawahi hata MUONA, nikiambiwa nimuowe sijiulizi mara mbili❤️❤️❤️❤️❤️

Seran mission town na stori za mwanza.

Mshana jr, kaka WA wote

Min mee

Ephen,
mkorofi sana huyu mshangazi anapenda kutukana matusi

Cocastic, wife material, lamomylong time no seen

Chizimaarifa, VENCHWA, Leo dada, tekeripersi, Binti wa zamani, mtibeli, netanyahu popoma, Zack Abdul, mama Samia, eron,Zack Abdul,, na wengine kibao✌️✌️💯💯
 
Back
Top Bottom