ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,646
- 43,733
- Thread starter
- #61
Nitarudi kuchungulia hii comment 😅😅Naona aibu kumtaja , ni mchangamfu , mpole , mstaarabu hajawahi kugombana wala kuwa na bifu na member wowote jukwaani .
She's so Unique , calm beautiful with brain muda mwingine natamani niondoke Jf ila nikiwaza ID yake na comment zake nzuri nitaziona wapi basi narudi Jf automatically .
Akiiona hii comment lazima ataweka reaction ya 🥰 au 😍