min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 59,651
- 172,193
Bado napumua tu, uwe unatokea hata mara moja moja tuendelee tulipo ishia😅
Bado napumua tu, uwe unatokea hata mara moja moja tuendelee tulipo ishia😅
Kama unaish kwa shemeji yako ww ni mke mdogo au mwenzaKatooooooombw na hiyo milion yako
Huwa nikiona hivyo nachekaga Uzi mzima, maana unaeza Kuta ugomvi kumbe hata hawajui wanapopigania😅😅😅 noma
unaenda na nini 😉Utafiti wangu mdogo humu jukwaani watu hawajui au hawaelewi
Ukisoma uzi Tittle inasema
Crush wako jukwaani si lazima wa kimapenzi
Iila sasa wanabadili mambo lol 😆
Hii nimeiona kwenye nyuzi nyingine pia
So mie naenda nalo tu 🤣🤣🤣
Hiyo dildo ndo unatembeaga nayo kama anal plug au?Weka humu again 🚮🗑
Nyongeza : sina Dildo
Mie pia nasubiri umtaje,nitoke ofcntaja kwanz crush wako
Kama nakuona 🤣🤣Huwa nikiona hivyo nachekaga Uzi mzima, maana unaeza Kuta ugomvi kumbe hata hawajui wanapopigania
Ewaaaaaaahhhh!!!!!!Bado napumua tu, uwe unatokea hata mara moja moja tuendelee tulipo ishia😅
Nasoma kwanza makasiriko ya watu 😂.Unazunguka mbuyu why😅
Yoyote mahiunaenda na nini 😉
Hahahaha,tupo pamojaKama nakuona 🤣🤣
Nilishawataja before. We unamcrushia nani?taja kwanz crush wako
Tresor Mandala 😎Mie pia nasubiri umtaje,nitoke ofcn
Weka humu redboy 🗑🚮Hiyo dildo ndo unatembeaga nayo kama anal plug au?
Si ndo yule jamaa alipata bahati ya kuzalisha mshangazi?Uzi umejaa wakaka wa 2014 lakini ninayemtaka hajasogea kabisa
HahahahaNasoma kwanza makasiriko ya watu 😂.
Ndipo ninapogundua kuwa watu wako vere siriasi na maisha 😂😂.
Hawanaga muda na utani hata kidogo.
Sijui Huwa wanatumia nini kupunguza makasiriko Yao.
crush wangu ana crush wake hivyo nimewaacha wacrushiane😅😅Nilishawataja before. We unamcrushia nani?
Kalia ndonga dogoKama unaish kwa shemeji yako ww ni mke mdogo au mwenza