Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Tumia akili,huyu member Bado Nina hungover ya nyuzi zake!

Hebu ona hii

"Kitabu kilichoandikwa Kisha kikaachwa,kitamalizika kwa hesabu hii!!
Aiseh

Siku tisini,mia themanini tayari!

Mwingine ni britanicca!!

Then mshanar jr!anajaribu kujibu baadhi ya maswali ninayojiuliza!!Mengi mengi sana!
 
😀😀Huwa napenda kuhadithia vile ili kuwasaidia mawazo baadhi ya vijana wasiokua na uelewa juu ya namna ya kuwaweka sawa wapenzi wao wawapo kunako sita kwa sita.

Of course hata mimi sikujua tu mwenyewe , nilibahatika kumpata mama mmoja alikuwa fundi sana hivyo nilifundishwa.

Ww huwa una maneno yako kwenye comments za nyuzi za vile, nikiyasoma uuuuhhhh.....damnnnnn!!😀😀

win-one ShesRise_1
Weeee acha basi😅😅
 
Back
Top Bottom