Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

mbalizi1 nakucrush sana esp ninapo soma replay zako za kudinyana😜,, yaan huwa una simulia kama vile unadinya kweli🤣🤣🤣🤣
😀😀Huwa napenda kuhadithia vile ili kuwasaidia mawazo baadhi ya vijana wasiokua na uelewa juu ya namna ya kuwaweka sawa wapenzi wao wawapo kunako sita kwa sita.

Of course hata mimi sikujua tu mwenyewe , nilibahatika kumpata mama mmoja alikuwa fundi sana hivyo nilifundishwa.

Ww huwa una maneno yako kwenye comments za nyuzi za vile, nikiyasoma uuuuhhhh.....damnnnnn!!😀😀

win-one ShesRise_1
 
Ni nani unaye crush naye hapa jukwaani? 😄

Hapa jukwaani pamekuwa sehemu ya enjoyment kwa baadhi ya watu, darasa kwa wengine, na sehemu ya kujifunza, kubadilishana mawazo na kufahamiana.

Sasa tuambie ni nani unaye crush naye hapa jukwaani?

Sisemi lazima iwe crush ya kimapenzi No

Inaweza kuwa ni kwa sababu unapenda namna anavyoandika, madini anayotoa, ucheshi wake, namna anavyojenga hoja, au hata comments zake zinavyokuvutia.

Mimi nina crushes wangu wengi tu hapa jukwaani 😄

Na wewe je, taja wako ni nani, na ni kitu gani hasa kinakufanya umpende au um-appreciate?

Watu ninao wa crush jukwaani

For Boys
👇
Marcostilone huyu nime mbatiza jina The Thinker 🧠

Mshana Jr my Dad ❤️

Tlaatlaah hapa kwa wale wapenda siasa mnisamehe kidogo yeye anajua zaidi🐒

ERoni Babu hakosi kwenye kikao cha wazee😌

Kwa girls 👇

binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one kakorofi haka🤪

ShesRise_1 🤚
Tlaatlaah hajui siasa bali ni chawa wa FISIEMU
 
Back
Top Bottom