😁😁😁Tuko poa mkuu
🤣
Tunasaidia kupeleka misaada gaza ila hamas wanazuia wakt watoto wanakufa njaa
Sure bro, mimi nipo poa mda mwingi nipo Job nikiwa home nakua stimu na usingizi kama wote 🤣Uko poa jamaa siku nyingi hatujachekiana
Blazaa mda wote upo kishari tu🤣🤣🤣🤣Mbona kila siku mnalalamika wana makato makubwa, kumbe bado mnaitumia?
Umesahaau
Mpendwa mteja...
Fresh Mpendwa mteja tutajirekebisha...Umesahaau
Mpendwa mteja...
Hii message ya kinanisensi kabisa wao uona sawaKuwa mvumilivu wakati tunaendelea kushughuliki Changamoto iliyojitokeza...