CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2017
Messages
1,623
Points
2,000
Hardbody

Hardbody

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2017
1,623 2,000
Duh nikajua matatizo yapo kwa sisi walimu tu kumbe hata accounts mna mauozo yenu huko aisee ni hatari
 
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2018
Messages
334
Points
500
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2018
334 500
Elimu ya Tanzania haiishi vituko.

Ndio maana hatuendelei. Maana flaw kwenye mifumo yetu ya elimu ni mingi mno.

Ndio maana unashangaa, unakua na CPA ya Tanzania, ukitaka kufanya mitihani ya ACCA hupati exemptions kwa kua CPA yetu haieleweki.

Kwa wahasibu watanielewa, ni rahisi Tanzania kupata CPA hata kama wewe sio mhasibu na huna taaluma ya uhasibu, ili mradi tu ufaulu mitihani yake.

Yaani unaweza kua Certified Public Accountant huku huna academic qualification ya accountancy.

Kwa nchi nyingine kitu cha kwanza kupata CPA ni lazima uwe na academic qualifications then uombe kua certified. Nchi nyingine lazima uwe na module hours nyingi sawa na masters ili uwe eligible na CPA.

Huku mwetu unaweza kumaliza form four, ukaanza na atecs hadi CPA.

Sasa imetokea shida ofisini kwetu, wanataka senior accountant, awe na bachelor degree na CPA, aliyepo ana CPA ila hana bachelor degree, ni form four leaver, aliajiriwa kama accounts clerk.

Ikija kigezo cha CPA anayo, ikija kigezo cha bachelor degree hana. Unajiuliza mtu anakuaje certified public accountant huku hana academic qualification ya accountancy?

Ni sawa na mtu kua registered electrical engineer huku hajasoma hata certificate ya umeme. Mradi tu amelipia na amefaulu mitihani.

Certification ni profession, na ili uwe professional lazima uwe na academic qualifications kwanza. Hapa Bongo unakua certified profession without academic qualifications. Mambo ya hovyo kabisa.

Elimu ya Tanzania haiishi vituko.
naunga mkono andiko kwa asilimia 100 nikiwa na ushahidi ambao nimeuona katika harakati zangu za kupata CPA ingawa niliishia njiani baada ya kuona mizinguo
1. Nilisoma na mwanafunzi ambaye alikuwa na CPA lakini hakuwa na degree na akamaliza vizuri Master of Science in Accountancy and Finance bila ya shida. Nilishangaa lakini nikajaambiwa kuwa ukiwa na Form six certificate unanaza na Atec 2 na ukiendelea baada ya hapo unapata CPA, so haina haja ya kutafuta tena Degree kama ushapata CPA, na sifa mojawapo ya kufanya Master ni lazima uwe na Degree au CPA

2.Ukiwa umemaliza ACCA ili upate CPA (T) ni lazima ufanye pepa tatu ambazo ni Business law kwenye level ya Foundation, Publib Finance and Taxation kwenye Intermediate stage na Advanced Taxation kwenye Final stage. ila ukiwa na CPA ukihitaji kufanya ACCA unafanya masomo yote kana kwamba huna fuzu yoyoye muhimu ambayo inahitaji msamaha (exemption).
 
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2018
Messages
334
Points
500
kiraremapojoni

kiraremapojoni

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2018
334 500
Duh nikajua matatizo yapo kwa sisi walimu tu kumbe hata accounts mna mauozo yenu huko aisee ni hatari
huku ni shida sana aisee huwezi kuwa senior accountant kama huna CPA na kuipata sasa unakaa kwenye madawati ya shule ya msingi kwenye reviews mpaka unapata shida ya uti wa mgongo
 
tzkwanza

tzkwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
586
Points
1,000
tzkwanza

tzkwanza

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
586 1,000
Nyie acheni kashfa za kipuuzi. Tena bora NBAA maana huko ACCA experience tu ni sehemu ya qualification za kufanya mitihani yao. ATEC hawasomi failure huu ni uongo! Nenda kaone qualification za kuanza ATEC. Alafu hivi unaweza kufananisha mtu aliyefanya professionals exams zaidi ya 20 na hizi njia zingine? Hivi mnafikiri mtu alifanya professional exams kuna kitu unamzidi? Tena zaidi technically humsogelei! Edson tutor wa CPA exams kasoma computer science then kasoma kuanzia Atec hadi CPA unamuweza yule? Unamjua mwl Paul? Yule baada ya form six kapiga ATEC hadi CPA, nafikiri wanaomjua wanajua habari yake. Vipi Rashidi tutor maarufu wa CPA, yule kasoma Bcom finance na kwa qualification hizo alianzia module B hadi CPA na inshort ufahamu wake umejengwa na professional exams, je unamuweza yule? Weka mbali Mkulo (aliyekuwa waziri wa fedha awamu ya nne) huyu baada ya form six kapiga professional exams. Dr Makongoro Mahanga naye ni form 4, ATEC to CPA. Reginald Mengi form six to ACCA. Kashonda ambaye vitabu vyake mnatumia hadi vyuo vikuu ni form six to ACCA. Dr Mndolwa aliyekuwa partner PWC ni form six to ACCA. Niendelee? Inshort professional qualifications kama CPA ni zaidi ya undergraduate degree ndio maana all reputable universities wanaikubali kama direct entry to masters bila kujali umeipata kupitia njia ipi.
Well said mkuu, huyu mleta uzi atakuwa alifeli mitihani ya NBAA sasa wivu umemjaa.
 
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
2,139
Points
2,000
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
2,139 2,000
Hii kitu niliwahi bishna na mtu hadi nikampia mawe. Mbona Mainjinia, wanasheria na madaktari hawana huu ujinga
Unafeli form 4, unaenda kuchukua certificate ya medicine kisha diploma kisha degree unafanya intern unakuwa licenced. Ni sawa tu....madaktari hawana MITIHANI MAALUM YA BOARD kwa hapa Bongo. Wao ufanye intern tu.
 
tzkwanza

tzkwanza

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
586
Points
1,000
tzkwanza

tzkwanza

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
586 1,000
Pia sasa hivi watu wanafaulu sana mitihanai ya CPA kwa sababu ya urahisi wa kupata materials/TEKNOLOJIA/YOUTUBE/FREE ONLINE BOOKS na resources nyinginezo, pia na idadi ya wahitimu na watahiniwa imeongezeka. Zamani watu walikuwa wanategemea pamphlets na hardcopies nyinginezo ambazo watu wa mikoani ilikuwa shida kupata.
 
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
64,696
Points
2,000
FaizaFoxy

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
64,696 2,000
Elimu ya Tanzania haiishi vituko.

Ndio maana hatuendelei. Maana flaw kwenye mifumo yetu ya elimu ni mingi mno.

Ndio maana unashangaa, unakua na CPA ya Tanzania, ukitaka kufanya mitihani ya ACCA hupati exemptions kwa kua CPA yetu haieleweki.

Kwa wahasibu watanielewa, ni rahisi Tanzania kupata CPA hata kama wewe sio mhasibu na huna taaluma ya uhasibu, ili mradi tu ufaulu mitihani yake.

Yaani unaweza kua Certified Public Accountant huku huna academic qualification ya accountancy.

Kwa nchi nyingine kitu cha kwanza kupata CPA ni lazima uwe na academic qualifications then uombe kua certified. Nchi nyingine lazima uwe na module hours nyingi sawa na masters ili uwe eligible na CPA.

Huku mwetu unaweza kumaliza form four, ukaanza na atecs hadi CPA.

Sasa imetokea shida ofisini kwetu, wanataka senior accountant, awe na bachelor degree na CPA, aliyepo ana CPA ila hana bachelor degree, ni form four leaver, aliajiriwa kama accounts clerk.

Ikija kigezo cha CPA anayo, ikija kigezo cha bachelor degree hana. Unajiuliza mtu anakuaje certified public accountant huku hana academic qualification ya accountancy?

Ni sawa na mtu kua registered electrical engineer huku hajasoma hata certificate ya umeme. Mradi tu amelipia na amefaulu mitihani.

Certification ni profession, na ili uwe professional lazima uwe na academic qualifications kwanza. Hapa Bongo unakua certified profession without academic qualifications. Mambo ya hovyo kabisa.

Elimu ya Tanzania haiishi vituko.
Mtanielewa tu ninaposema "shule za kusomea ujinga".
 
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Messages
2,206
Points
2,000
GODZILLA

GODZILLA

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2014
2,206 2,000
Fikra kwamba mtihani kuonekana mgumu ndiyo ubora wa elimu ni moja kati ya vikwazo vikubwa vya elimu bora Tanzania.
Kwa Tanzania, wanafunzi wanapofeli au kudisco vyuoni ndio kipimo cha elimu bora na hadhi ya chuo.

Wahadhiri nao ndipo wanapopatiamo maujiko humo, kwamba ni manguli wa kufundisha mpaka watu wanafeli.

Mpaka leo hii tangu enzi za Nyerere, hakuna mtu aliyevunja rekodi ya Kabudi pale udizimu. Wote waliofuata hawakufua dafu.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,521
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,521 2,000

Na huyo Kabudi mwenyewe ndiye huyu anachemsha na kutoa mimacho kila siku.
 
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
2,098
Points
2,000
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
2,098 2,000
Sio mtihani kuwa mgumu tu...Kuna vilaza ambao wanapenya kama pete inavyopita kwenye kidole kilichotiwa sabuni ya unga.

Ni swala la muda tu CPA zitazagaa mtaani kama zilivyo degree na watu wasijue la kufanya ni nini.

Kitu nilichoona kwa sasa elimu haina msaada wowote wa kumtoa mtu kimaisha kama tulivyoaminishwa na wazee wetu. Kwa mantiki hio mtoto atasoma shule basic mpaka atapofikia ukomo. No stressing kulipia elimu million 20 kisha mtoto aje afungue banda la juice kuendesha maisha.
Kaka nakuunga mkono 100%
 
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Messages
2,098
Points
2,000
T

The hitman

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2017
2,098 2,000
Kwa Tanzania, wanafunzi wanapofeli au kudisco vyuoni ndio kipimo cha elimu bora na hadhi ya chuo.

Wahadhiri nao ndipo wanapopatiamo maujiko humo, kwamba ni manguli wa kufundisha mpaka watu wanafeli.

Mpaka leo hii tangu enzi za Nyerere, hakuna mtu aliyevunja rekodi ya Kabudi pale udizimu. Wote waliofuata hawakufua dafu.
Kabudi huyu huyu WA jalalani ? Mbona hizo records mnatuchanganya ? Mara kabudi , mara asha rose migiro ,which is which ?
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,770
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,770 2,000
Kwa Tanzania, wanafunzi wanapofeli au kudisco vyuoni ndio kipimo cha elimu bora na hadhi ya chuo.

Wahadhiri nao ndipo wanapopatiamo maujiko humo, kwamba ni manguli wa kufundisha mpaka watu wanafeli.

Mpaka leo hii tangu enzi za Nyerere, hakuna mtu aliyevunja rekodi ya Kabudi pale udizimu. Wote waliofuata hawakufua dafu.
Hivi huyo Kabudi aliweka rekodi gani hapo UDSM?

Na ni kweli au ni hadithi tu?

Vyovyote vile, kufanya vizuri darasani au kwenye mtihani haimaanishi hata kwenye utendaji wa kazi utafanya vizuri.

Huyo Kabudi labda ana uwezo mkubwa wa kupokea taarifa, kuzikariri, na kuzirudia kwenye makaratasi [kujibu maswali] lakini zaidi ya hapo, ni average tu.

Watu wa hivyo wapo!

Nina mshikaji wangu mmoja PhD kabisa. Anafundisha Spelman College hapo.

Huyu mshikaji ni kama hana common sense vile. Ni kama hana maarifa ya kimaisha. Lakini darasani, yupo vizuri.

So go figure!
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,770
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,770 2,000
Hizi professions za pompous and unnecessary hierarchies zenye repetitive na programmable tasks zote zinaenda kufa kutokana na automation in computerization.

Itafikia wakati sehemu pekee zinazohitaji a CPA accountant ni zile zinazotaka kuipiga chenga mifumo ya kodi, wengine wote wataweza kufanya accounting kirahisi kwa computer hata kama hawana CPA.

Marekani watu wote wana file yearly accounting for taxes, na hili lishaanza kutokea. Watu wanaohitaji accountants ni.

1. Wajinga sana.
2. Wavivu sana
3. Matajiri sana wasio na muda
4.Matajiri sana walio na taxes forms zilizo very complex
5. Wanaofuata mazoea tu

Wengine karibu wote wana file taxes wenyewe, kwa sababu computers zimerahisisha sana accounting.

Focus sasa hivi ni computing packages zinazoweza kufanya kazi vizuri kuliko mtu mwenye bachelor na CPA, halafu zinazoweza kuwa managed na mtu wa form four ambaye hana hata CPA.

Hizi ni habari za nchi zilizoendelea, huko Tanzania sijui mnafanyaje.
I started doing my own taxes back in the early 2000s. TurboTax baby.

Nilijaribu kuwashawishi baadhi ya washikaji lakini wapi! Wao kimbilio lao lilikuwa H&R Block!!!

Mtu ana W-2 tu halafu yupo single lakini anaogopa ku file mwenyewe.

Even when I stopped working a 9-5 and became an independent contractor bado na file mwenyewe tu.

Tena siku hizi filing software zipo nyingi tu na zingine ni za bure kabisa [mfano Credit Karma].

Ila nina rafiki yangu yeye ikifika Januari hadi April huwa anazichanga dolari.

Ana prepare taxes za watu hususan the immigrant community.

He makes six figures in a space of four to five months!

Hapo ndo unaona kuwa uoga na ujinga wa wengine huwa ni neema kwa mwingine.
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2009
Messages
44,521
Points
2,000
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
Joined Jan 29, 2009
44,521 2,000
I started doing my own taxes back in the early 2000s. TurboTax baby.

Nilijaribu kuwashawishi baadhi ya washikaji lakini wapi! Wao kimbilio lao lilikuwa H&R Block!!!

Mtu ana W-2 tu halafu yupo single lakini anaogopa ku file mwenyewe.

Even when I stopped working a 9-5 and became an independent contractor bado na file mwenyewe tu.

Tena siku hizi filing software zipo nyingi tu na zingine ni za bure kabisa [mfano Credit Karma].

Ila nina rafiki yangu yeye ikifika Januari hadi April huwa anazichanga dolari.

Ana prepare taxes za watu hususan the immigrant community.

He makes six figures in a space of four to five months!

Hapo ndo unaona kuwa uoga na ujinga wa wengine huwa ni neema kwa mwingine.
Mimi nilikuwa na cribs in different states na kazi pia, na itemization juu, na nika file mwenyewe finesse ya Donald Trump style.

Kabla ya saa nne asubuhi nikamaliza.

Then, fresh outta Bloomies with the Louie luggage.
 
Msolo

Msolo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2008
Messages
1,380
Points
2,000
Msolo

Msolo

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2008
1,380 2,000
Mkuu hupaswi kukariri. Sisi hii elimu tumeletewa tu na wazungu. Huko kwao wanafanya hivi hivi tena ni rahisi zaidi kwa entry qualification tofauti na hapa. Udaktari na shule kama engeneering lazima ukae darasani ni too practical. Lakini hata hiyo sheria wapo watu wanaipiga kwa mitihani tu wanalamba degree nchi za wenzetu labda mnataka NBAA waanze kutoa degree kwa watu walio clear intermediate kama wanavyofanya ACCA ili kuwaridhisha watu kama nyie mnaotaka kuona cheti hicho tu. Hivi mnafikiri mtu aliyepiga professional exams ni short cut au njia rahisi? Basi kila mwenye degree si angekuwa anajibebea tu CPA? Nenda kafanye hiyo CPA uipate ndio utajifunza adabu kidogo.
Yes, ni mifumo tofauti tu, kuna baadhi ya majimbo marekani kama Calfonia unaweza fanya bar exams ili uwe wakili bila kuwa na degree ya sheria. Mfano Kim Kadashian anataka kuwa wakili kwahiyo ameanza kufanya bar exams bila kuwa na degree.

Source:https://www.cnbc.com/2019/04/17/how-kim-kardashian-can-become-a-lawyer-without-getting-a-law-degree.html
 
Forum statistics

Threads 1,313,879
Members 504,678
Posts 31,807,107
Top