CPA ya Tanzania ni ya kipekee duniani

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,511
2,000
I started doing my own taxes back in the early 2000s. TurboTax baby.

Nilijaribu kuwashawishi baadhi ya washikaji lakini wapi! Wao kimbilio lao lilikuwa H&R Block!!!

Mtu ana W-2 tu halafu yupo single lakini anaogopa ku file mwenyewe.

Even when I stopped working a 9-5 and became an independent contractor bado na file mwenyewe tu.

Tena siku hizi filing software zipo nyingi tu na zingine ni za bure kabisa [mfano Credit Karma].

Ila nina rafiki yangu yeye ikifika Januari hadi April huwa anazichanga dolari.

Ana prepare taxes za watu hususan the immigrant community.

He makes six figures in a space of four to five months!

Hapo ndo unaona kuwa uoga na ujinga wa wengine huwa ni neema kwa mwingine.
Msomali wa Decatur huyo
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
4,902
2,000
Hivi huyo Kabudi aliweka rekodi gani hapo UDSM?

Na ni kweli au ni hadithi tu?

Vyovyote vile, kufanya vizuri darasani au kwenye mtihani haimaanishi hata kwenye utendaji wa kazi utafanya vizuri.

Huyo Kabudi labda ana uwezo mkubwa wa kupokea taarifa, kuzikariri, na kuzirudia kwenye makaratasi [kujibu maswali] lakini zaidi ya hapo, ni average tu.

Watu wa hivyo wapo!

Nina mshikaji wangu mmoja PhD kabisa. Anafundisha Spelman College hapo.

Huyu mshikaji ni kama hana common sense vile. Ni kama hana maarifa ya kimaisha. Lakini darasani, yupo vizuri.

So go figure!
Kabudi na Migiro ndio watu pekee walioweka rekodi ya kupata first class ya LL.B hapo mlimani.

Hakuna aliyevunja hiyo rekodi mpaka leo hii. Ni kweli wala sio hadithi.

Kuna kale kausomi cha kishamba cha kutunza hiyo rekodi hapo UDSM kwa makusudi tu.

Rekodi inatunzwa kwa nguvu zote haitakiwi kuvunjwa kabisa. (hazina ya kihistoria).
 
GODZILLA

JF-Expert Member
Dec 26, 2014
4,902
2,000
Na huyo Kabudi mwenyewe ndiye huyu anachemsha na kutoa mimacho kila siku.
Haha. Ukiachana na takriri zake za TANU na historia za Tanganyika, sidhani kama ana ufahamu wowote wa maswala mapana ya maisha ya kawaida.

Juzi alikuwa anahojiwa juu ya athari za Kauli ya Magufuli kuwaita wachina mabeberu baada ya saga ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo, akaanza kuleta hadithi kibao na reference za miaka sijui ya TANU na matakataka chungu mzima!
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
86,073
2,000
Haha. Ukiachana na takriri zake za TANU na historia za Tanganyika, sidhani kama ana ufahamu wowote wa maswala mapana ya maisha ya kawaida.

Juzi alikuwa anahojiwa juu ya athari za Kauli ya Magufuli kuwaita wachina mabeberu baada ya saga ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo, akaanza kuleta hadithi kibao na reference za miaka sijui ya TANU na matakataka kibao!
Huyo Kabudi labda anafaa tu kufundisha madarasani huko.

Mambo mengine, hususan haya ya kidiplomasia, keshaonyesha hayamudu vizuri.

Magufuli naye inaonekana ni limbukeni wa vyeo vya kielimu na kijeshi.

Kwake mtu akishakuwa Dr., Prof., au Jenerali, sijui anadhani huyo mtu atakuwa anaweza kufanya kila kitu!!

Waziri wa mambo ya nchi za nje ndo mwanadiplomasia mkuu wa nchi.

Kumwondoa Dr. Mahiga kwenye hiyo nafasi na kumweka Kabudi.....what the hell was that??
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,497
2,000
Haha. Ukiachana na takriri zake za TANU na historia za Tanganyika, sidhani kama ana ufahamu wowote wa maswala mapana ya maisha ya kawaida.

Juzi alikuwa anahojiwa juu ya athari za Kauli ya Magufuli kuwaita wachina mabeberu baada ya saga ya ujenzi wa bandari ya bagamoyo, akaanza kuleta hadithi kibao na reference za miaka sijui ya TANU na matakataka chungu mzima!
Magufuli kawaita Wachina mabeberu tena?

Baada ya kusema hana haja na watu wa magharibi, anaelekea mashariki kama Rastafari anayemtafuta His Imperial Majesty Haile Selassie I kwa maandiko ya kibiblia ya Marcus Garvey?
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,923
2,000
Mimi nilikuwa na cribs in different states na kazi pia, na itemization juu, na nika file mwenyewe finesse ya Donald Trump style.

Kabla ya saa nne asubuhi nikamaliza.

Then, fresh outta Bloomies with the Louie luggage.
Wazee mnatutoa mswaki masela wa Samvulachole,,, kongore zenu mliotusua huko majuu.👏👏👏👏👏
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
430
500
Sio mtihani kuwa mgumu tu...Kuna vilaza ambao wanapenya kama pete inavyopita kwenye kidole kilichotiwa sabuni ya unga.

Ni swala la muda tu CPA zitazagaa mtaani kama zilivyo degree na watu wasijue la kufanya ni nini.

Kitu nilichoona kwa sasa elimu haina msaada wowote wa kumtoa mtu kimaisha kama tulivyoaminishwa na wazee wetu. Kwa mantiki hio mtoto atasoma shule basic mpaka atapofikia ukomo. No stressing kulipia elimu million 20 kisha mtoto aje afungue banda la juice kuendesha maisha.
Huu ni upuuzi wa kiwango cha sgr
 
Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
52,497
2,000
Huyo Kabudi labda anafaa tu kufundisha madarasani huko.

Mambo mengine, hususan haya ya kidiplomasia, keshaonyesha hayamudu vizuri.

Magufuli naye inaonekana ni limbukeni wa vyeo vya kielimu na kijeshi.

Kwake mtu akishakuwa Dr., Prof., au Jenerali, sijui anadhani huyo mtu atakuwa anaweza kufanya kila kitu!!

Waziri wa mambo ya nchi za nje ndo mwanadiplomasia mkuu wa nchi.

Kumwondoa Dr. Mahiga kwenye hiyo nafasi na kumweka Kabudi.....what the hell was that??
Tatizo hatufuati meritocracy, tunaangalia who is the best ass kisser.

I guess Dr. Mahiga was not a good enough ass kisser, Dr. Kabudi seems to be.
 
James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,699
2,000
Japo mm ni mhasibu ila kiukweli taaluma yetu imeingiliwa. Ukiwa na pesa na muda wa kupitia past papers tayari ww ni mhasibu aliyehidhinishwa. Pia ninaye classmate yuko tanapa nilisoma naye akafeli fomu4 wakati si sisi tunaenda advanced yeye a kaanza ATEC.... Leo hii ni mhasibu mzito uko.
Taaluma pekee tz ambayo haijaanza kutiwa najisi ni taaluma ya sheria na udaktari.... Vingine ni ukanjanja tu
Hata Engineering hawawezi kugusa.
 
Baba Swalehe

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
16,410
2,000
Mdogo mdogo wangu hata wewe visa zipo kwa ajili yako ukitaka kuja unakuja unatembea unarudi kama Mr. 2.

Tena ukija hufikii hoteli unamtafuta Kiranga tu mswano mambo ado ado tunakamilisha.

Au vipi?
Teh ...

We jamaa
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
23,923
2,000
Mdogo mdogo wangu hata wewe visa zipo kwa ajili yako ukitaka kuja unakuja unatembea unarudi kama Mr. 2.

Tena ukija hufikii hoteli unamtafuta Kiranga tu mswano mambo ado ado tunakamilisha.

Au vipi?
Haina udaz kamanda, wacha tukichange tuje huko siunajua mambo BBM.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom