mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
Umemaliza kila kitu kitu mkuu, vijana wa siku hizi wanakimbilia MBA baada ya kufeli CPA then baadae wanaanza kuongea shit khs NBAA.Nyie acheni kashfa za kipuuzi. Tena bora NBAA maana huko ACCA experience tu ni sehemu ya qualification za kufanya mitihani yao. ATEC hawasomi failure huu ni uongo! Nenda kaone qualification za kuanza ATEC. Alafu hivi unaweza kufananisha mtu aliyefanya professionals exams zaidi ya 20 na hizi njia zingine? Hivi mnafikiri mtu alifanya professional exams kuna kitu unamzidi? Tena zaidi technically humsogelei! Edson tutor wa CPA exams kasoma computer science then kasoma kuanzia Atec hadi CPA unamuweza yule? Unamjua mwl Paul? Yule baada ya form six kapiga ATEC hadi CPA, nafikiri wanaomjua wanajua habari yake. Vipi Rashidi tutor maarufu wa CPA, yule kasoma Bcom finance na kwa qualification hizo alianzia module B hadi CPA na inshort ufahamu wake umejengwa na professional exams, je unamuweza yule? Weka mbali Mkulo (aliyekuwa waziri wa fedha awamu ya nne) huyu baada ya form six kapiga professional exams. Dr Makongoro Mahanga naye ni form 4, ATEC to CPA. Reginald Mengi form six to ACCA. Kashonda ambaye vitabu vyake mnatumia hadi vyuo vikuu ni form six to ACCA. Dr Mndolwa aliyekuwa partner PWC ni form six to ACCA. Niendelee? Inshort professional qualifications kama CPA ni zaidi ya undergraduate degree ndio maana all reputable universities wanaikubali kama direct entry to masters bila kujali umeipata kupitia njia ipi.