Uncle Jei Jei
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,683
- 2,157
Tunaweza kumjadili kama atafanya yaliyofanywa na Tajiri Zakayo:-
1. Agawe nusu ya mali zake zote kwa maskini (Lowassa anasadikiwa kuwa na more than 50b.)
2. Kama Aliiba mali yoyote ya Umma alipe mara mbili zaidi.
Kisha aje kwetu atubu then tunaweza kumfikiria kuanzia hapo.
Kweli kabisa ikiwezekana abatizwe upya!! Akiyaweza hayo atafaa kuwa kiongozi kwa ngazi yoyote ile!