NAKUBALIANA NA WW KABISA. Lowassa ni mchapakazi sana sema tatizo lake ni hilo la ufisadi tu. otherwise kazi anaiweza wajameni.
hata kama ni MWIZI always LOWASSA amekuwa mchapa kazi na ni mtu mwenye maamuzi bila kuogopa
UMBUZI WA SADAKA HUU HAPA SOMA HOTUBA YAKE KWA KIFUPI
Kwa kazi nzuri kwa maoni yao, wamewasilisha vizuri. Lakini nimesimama kuweka kwenye kumbukumbu kutoridhika kwangu na jinsi kazi hiyo ilivyofanywa. Mheshimiwa Dk. Mwakyembe ni Mwanasheria, tena Daktari alikuwa anafundisha Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni "Natural Justice".
Mheshimiwa Spika, wewe ni Mwanasheria unafahamu suala la Natural Justice. Kwamba Kamati Teule imesikiliza watu wengine wote pamoja na wanaoita minong'ono ya mitaani, wamesafiri mpaka Marekani kutafuta mashahidi, lakini mimi ambaye ni mmoja kati ya watuhumiwa mle hawakunihoji hata siku moja.
Mheshimiwa Spika, nimesimama kueleza masikitiko yangu. Ofisi ya Bunge mpaka ofisini kwangu hata kama wangeniita ningekwenda kwa miguu kama hamna gari na nilikuwa tayari kufanya hivyo.
munamuonaje PINDA-si mchapa kazi, anajiliza, analalamika maofisa kununua magari ya bei juu,hapingii rushwa kivitendo,ni ndumila kuwili (leo A kesho Z),anajifanya mtu wa kanisa,mtoto wa mkulima (bora angekuwa mtoto wa bilionea) anayechekelea nchii ikiangamia,
LOWASA-ni mchapa kazi anayeogopwa na maofisa wenzake serikalini (sifa muhimu),ana ujasiri na kujua maana ya cheo chake ni fisadi kivitendo (hana tofauti na PINDA asiyeupinga ufisadi).
hapa ni bora nchi kuwa na lowasa fisadi mchapakazi, kuliko PINDA mpalilia ufisadi asiyechapa kazi?
ANA MSIMAMO NI SHUJAA ASIYETETEREKA SOMA HOTUBA YAKE AKIACHIA NGAZI HAPA
Mheshimiwa Spika, Taifa letu ni Taifa changa, lakini chombo hiki ndiyo mahali pa demokrasia pakubwa katika nchi pote, hapa ndipo penyewe. Kama katika chombo hiki haki haitaonekana kutendeka nchi yetu haitakwenda vizuri. Hapa ndipo tunategemea tuwaonyeshe umakini wetu, umahiri wetu katika mambo ya demokrasia. Kwa nhiyo nilichofanyiwa napenda kuweka kumbukumbu sawa kwamba naona si sahihi, nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana, nimeonewa sana katika hili.
Maana zimechukuliwa tuhuma zikaelezwa hapa kwamba hivi ndivyo ilivyo. Mimi sijauliza. Kulikuwa na shida gani kuniuliza, kwa nini muamini minong'ono ya mitaani kuliko maelezo yangu. Sisi wote hapa ni wanasiasa tukianza kuamini minong'ono ya mitaani niambieni mwanasiasa atakayesimama. Hatuwezi, Tume imepewa muda wa kutosha lakini inashindwa kumuona mtu ambaye wanamtuhumu na wanamsema kwa kirefu sana
Kwa anaye mjua yule legwainani yule!!atakubaliana na mimi kwama EL nimchapa kazi uwezi kumlinganiha na pinda japo kila mmoja anamapungufu yake!!Kwanza anayekumbuka sakata la mnazi mmoja,sakata la city water hivyo niujasiri kwanza akiwa waziri wa mifugo na maji aliwawekea wananchiwake maji,Mabwawa yakutosha hakuna shida ya maji,akiwa waziri mkuu akawawekea mjiwao kwenye mazingira safi,rami,miradi,Na alikuwa na mipango yakupitisha barabara hadi serengeti kupitia monduli,Shule za kata ndo usiseme the guy is :A S thumbs_up:
Kwa hii thred nimekushusha kiwango balaaaaa.Yani nafkiri humjui lowassa kiundani zaidi ya mimi niliyewahi kuishi kwake.Kwa taarifa yako huyu jamaa na Rostam mpaka sasa ivi ndo wanaongoza nchi na kampuni yao inaitwa CCM na JK na Pinda ni waajiriwa wao.Samueli sita walimnyima kazi ile ya mwanzo baada ya kuona kijana anafundisha wenzake kugomagoma.Sasa basi kwa taharifa yako Lowasa ni next level au kwa jina lingine ni mojawapo wa Tanzanians Tycoons.Lowasa ni mjanja sana katika michezo michafu kwa mwavuli wa kuongoza.Lowasa haibi million ila ni mkali kusimamia vimiradi vya wananchi vya mamilioni.Jamaa akikwapua anakwapua kuanzia figure za bilions na ni mjuzi balaa wa kujisafisha tena mbaya zaidi hadi makanisani.Sasa basi hapa ni the home of great thinkers na sio great talkertives.lowassa Hafai hata marehemu baba wa taifa alituonya dhidi ya huyu mtu bora mara elfu kumi hata makamba na ukilaza wake.
munamuonaje PINDA-si mchapa kazi, anajiliza, analalamika maofisa kununua magari ya bei juu,hapingii rushwa kivitendo,ni ndumila kuwili (leo A kesho Z),anajifanya mtu wa kanisa,mtoto wa mkulima (bora angekuwa mtoto wa bilionea) anayechekelea nchii ikiangamia,
LOWASA-ni mchapa kazi anayeogopwa na maofisa wenzake serikalini (sifa muhimu),ana ujasiri na kujua maana ya cheo chake ni fisadi kivitendo (hana tofauti na PINDA asiyeupinga ufisadi).
hapa ni bora nchi kuwa na lowasa fisadi mchapakazi, kuliko PINDA mpalilia ufisadi asiyechapa kazi?
munamuonaje PINDA-si mchapa kazi, anajiliza, analalamika maofisa kununua magari ya bei juu,hapingii rushwa kivitendo,ni ndumila kuwili (leo A kesho Z),anajifanya mtu wa kanisa,mtoto wa mkulima (bora angekuwa mtoto wa bilionea) anayechekelea nchii ikiangamia,
LOWASA-ni mchapa kazi anayeogopwa na maofisa wenzake serikalini (sifa muhimu),ana ujasiri na kujua maana ya cheo chake ni fisadi kivitendo (hana tofauti na PINDA asiyeupinga ufisadi).
hapa ni bora nchi kuwa na lowasa fisadi mchapakazi, kuliko PINDA mpalilia ufisadi asiyechapa kazi?
big up! tungekuwa na electronic device ya kutrace nanma hela ya watanzania inavyoporwa kwa uvivu na undumilakuwili na kutotambua mamlaka yake nadhani kwa PINDA zingekuwa nyingi kuliko ile mil 152 @day ya LOWASSAMh!! Bora familia iliyo na afya na elimu kwa pesa za baba mwizi kuliko familia iliyo na kwashakoo na ujinga wa kukosa elimu kwa sababu ya baba mvivu na mwogopa wezi wa utajiri wa nyumba yake.
big up! tungekuwa na electronic device ya kutrace nanma hela ya watanzania inavyoporwa kwa uvivu na undumilakuwili na kutotambua mamlaka yake nadhani kwa PINDA zingekuwa nyingi kuliko ile mil 152 @day ya LOWASSA
wee mwehu, ni kiongozi gani ccm sio mwizi?? kuanzia huyo mkulu wenu hadi kinyangarika wa mwisho, weezi wooote, pinda ni kama lijoka la kibisa, ni waziri mkuu afu amekalia kutoa majibu ya 'mi nadhani'..pumbaf...lowasa kwa sie watu wa chini tulimuona poa, acha aibe..nani asiyeiba..shule za kata mnazolalamika kuwa hazina walimu wala vitendea kazi ni lowasa..alizijenga then baada ya kuondoka pinda wenu na serikali yake wa,eshindwa kuweka walimu na vitendea kazi./ angekuwepo lowasa angesema nataka nikute kila shule ina walimu kumi na vitendea kazi vya kutosha then watendaji wa halmashauri wangejicheki wenyewe..na ungeona wangetafutana na kazi ingefanyika..kifupi mimi nataka lowasa awe presidaa na aendelee kuiba na awawajibishe halmashauri na sie wa chini tunufaike kidogo..mtoto wa mkulima my ass..Hapa sio mahali pa kumsafisha Lowassa. Better find another forum.
Describe Lowassa in one word:
1.MWIZI
2.
3.