Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,760
sijakuelewa...Mmechukua mshiko nyie ! AGENDA HAPO NI 2011:majani7:
sijakuelewa...Mmechukua mshiko nyie ! AGENDA HAPO NI 2011:majani7:
anaongopa asije akalidanganya taifa tena akashushuka...Hata mimi nakubali, kukaa kwa hurumahuruma tu hatudanganyiki. M V 8 bado yanaingia kwa wingi. Halafu ile hutuba yake kuhusu mauaji ya Arusha vipi? Nyamongo ndio kabisa, yaani heri Lowasa. lakini bado kipimo ni Moringe.:confused2:
Mmechukua mshiko nyie ! AGENDA HAPO NI 2011:majani7:
sijakuelewa...
Dawa ya Jino ni kuong'oa kabisa....Dawa ya matatizo yetu tanzania ni kuingoa CCM lakini ukisema towa huyu weka huyo haita saidia tunatakiwa tuwe kama marekani ukiwazingua wanakuweka pembeni wanampa nafasi mwingine nae akifanya madudu anakaa pembeni sasa wewe njitu limekaa miaka 50 hakuna cha maana ni porojo....shenzi kambisani kweli asee bora tumrudishe el manake nchi ipwaya imagine tungekuwa wapi mpaka muda huu
Kidude cha Thanks sikioni, chukua THANKSAtakuwa alikuwa anaamanisha Agenda ni 2015. hata mimi thread za Lowasa zimenichosha. the truth ni kwamba Lowasa is over, asiyekubaliana na ukweli huu basi ana matatizo, by the way Watanzania tupo zaidi ya millioni 40 why Lowasa kila siku?
Wana jamvi, nimekua nikifuatilia kwa muda utendaji wa Waziri wetu Mkuu wa Sasa Mhe. Pinda tangu aingie ofisini baada ya Mhe. EL kujiuzulu kwa kashfa ya Richmond. Nimegundua udhaifu mkubwa Pinda alionao kwamba anashindwa kabisa kufanya maamuzi magumu kwa wakati sahihi, namuona kama ni "yes man" tofauti na mtangulizi wake ambaye pamoja na mapungufu yake mengine ya kujilimbikizia mali na tuhuma za ufisadi, alikua very strong ktk maamuzi. Naweza kusema alikua strong kuliko jk mwenyewe. Tuliye naye sasa amekalia kulalamika tu pasipo kufanya maamuzi yoyote kiasi kwamba mawaziri kila mmoja anazungumza lake kama kondoo wasio na mchungaji. Pinda anashindwa hata kufanya jambo dogo tu la kupiga marufuku ununuzi wa magari ya bei mbaya ambayo ni mzigo kwa serikali na taifa, anabaki kulalamika tu.
...Hapo sijaelewa.. unamaana juu ya nini?? :confused2: funguka kidogo tafadhalipamoja na maufisadi yake ya hali ya juu EL bado yuko juu sana ukilinganisha na mizegwe wa peter