apo anti Kaoge tuu ndo utamdanganyaActually CIA waliua hadi yale mabasi ya JADIDE ya enzi zile, walipomaliza wakaua hadi simbaluwala then wakahamia arachuga na kuua master city
siku hizi CIA wapo pale machinjioni pugu wanaua sana ngombe usiku😱
Hiyo inaongelea Tanzania tu....Dunia nzima hakuna kitu kama hicho!Vipi kuhusu ishu ya Senzo.......Dube alihusika.......?.......
bange zilimzidia nini babu?kwani bange mzigo?acheni hizo kila kitu bange tualikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Hahahaaaa... TUnapenda sana vitu vya kusadikika wakati hata basic things zinatushindaapo anti Kaoge tuu ndo utamdanganya
Fikiri upyaBob Marley kilichomuua ni kuzidisha kuvuta Bangi!! Mengine ni mbwembwe tu za wanazi na wapenda bangi!!
Unauliza impact ya Bob,alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
He is actually the most intelligent musician most of us know.. Akifuatiwa na 2 PAC.boby was very intellegent mucian
Du we mkaliCIA walimuua mpaka Kanumba wetu..
Aisee hii video haifunguki "not available" yaani nnaham nayo sana
Baada ya kufundisha Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam ( Udsm ), Walter Rodney alirudi nchini kwake Guyana kwa ajili ya kugombea Urais na kwakuwa alikuwa ni Mkosoaji mkubwa wa sera za Magharibi, Marekani ikahisi jamaa akishinda Urais atakuwa ni kero kwao, hivyo CIA kupitia kitengo chake hatari cha Mauaji wakamtegeshea Bomu kwenye gari lake na likafanikisha kuondoa uhai wake.Mkuu unaweza kuekezea kidogo kifo cha Walter Rodney kilikuaje na alifia wap mana huyu jamaa nlimsoma kweny world history book kinachohusu mambo ya capitalism
Mkuu acha kutudanganya. Abraham Lincoln wakati anafariki CIA haikuwa imezaliwa.Wengine ni Abraham Lincoln, Mahatma Gandhi, MLK
Ungeeleza uelewa wako zaidi ingekuwa vizuri zaidi kwa faida ya wengi.Mkuu acha kutudanganya. Abraham Lincoln wakati anafariki CIA haikuwa imezaliwa.