CIA walimuua Bob Marley?

aisee mkuu nipo nasoma! kuna maelezo yananichanganya kias ila majibu yako yamenipa mwanga mzuri sana!!.....inawezekana kukawa na group but the singer anakuwa mmoja tu! maana nyimbo zoteee kaimba Joseph na kwingine wameandika km ndo Culture huyo huyo! poa lkn acha nijifunze zaidi asante mkuu
 

cc FaizaFoxy
 
Ni
alikuwa na impact gani hadi wazee wa kazi a.k.a wazee wa mission CIA wamuue?????? au bange zake tu zilimzidia.
Ni vigumu mtu uliyekulia kijijini,ukaja mjini sababu ya kazi au elimu, kuujua umuhimu wa bob marley
 
Hapa nadhani story ni tofauti kidogo.....haihusiani na mkasa wa Bob........
Maisha ya luckdube na bob yalikuwa tofauti,bob alikuwa mwanamuzi vilevile mwanasiasa,bob alikuwa rastafari,bob aliuwawa sababu ya ujumbe wake,wakati luck dube hakuwa mwanasiasa,hakuwa rastafari,ila alikuwa mwimbaji reggae,na kifo chake kilitokata na ajali ya ujambazi,yaani majambazi walikuwa wanapora gari yake
 
amini tu ndo ilivyo! CIA wasikie kwa jirani,kati ya nyimbo zinazoishi na zitaishi siku nyingi zaidi ni nyimbo za reggae(roots)! salute kwako mkuu,leo nakula reggae tu "live concert za bob marley"
hilo alithibitisha bob mwenyewe ktk siku zake za mwisho za uhai wake,alimwambia mama yake,nikisikiliza nyimbo zangu naona zinaujumbe mzito,naamini hazitakuja futika kamwe
 
hahahah jamaniiii!! humu kuna vibwanga...
Wewe sio rastafari,rastafari ni mtu mwenye imani busara upendo na amani,wewe hivyo vitu inaonekana huna,wewe ni babyloni mpotoshaji wa rastafari,na hujui maana ya bangi,sababu kila anayevuta bangi sio rastafari,hata wezi na vibaka wanavuta
 
Wewe sio rastafari,rastafari ni mtu mwenye imani busara upendo na amani,wewe hivyo vitu inaonekana huna,wewe ni babyloni mpotoshaji wa rastafari,na hujui maana ya bangi,sababu kila anayevuta bangi sio rastafari,hata wezi na vibaka wanavuta
OMG...hii comment yote inanihusu mie??????
 
Toka lini bangi ikaleta kansa,huu mmea umekuwa ukizushiwa mambo mengi sana ya ajabu ajabu,tokea dunia ianze mpaka leo hakujawahi kuripotiwa kifo chochote kilichosababishwa na uvutaji wa bangi.
 
N
Naomba unitajie wimbo mmoja tu,ambao bob ameimba anamtukuza sheteni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…