Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 40,000
Jews running the world, America being so scared by Nyerere, and all that jazz....
I don't think American's were scared of Nyerere lakini kwa ushahidi wao wenyewe walikuwa very interested na kile alichokuwa anakifanya. Ukisoma mahali fulani hapo juu in the 1970s walikuwa wana suggest kitu kama mapinduzi ya kijeshi kutokea nchini. Hilo la Wayahudi kurun world affairs sina uhakika nalo. Kwa sababu ni sawa na kusema kuwa watu weupe ndio wanaendesha mambo ulimwenguni.