Dongo la Bashe Kwa Mwalimu Nyerere ni "KUTAFUTA KULAANIWA" BBT haiwezi kuwa Bora kuliko vijiji vya ujamaa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Mwalimu Nyerere na sera ya vijiji vya ujamaa haitofutika kamwe, ila nakuakikishia BBT ya Bashe na Rais Samia inaweza kufa kifo cha mende endapo mabilioni ya fedha yanayotumika pasipo kuzingatia uzarendo ukiendelea.

Leo, Waziri Bashe ameponda live live sera ya uanzishwaji wa vijiji vya ujamaa, yakini ni sera iliyofeli haifai kulinganishwa na BBT yake na Rais wake. Namtaka atambue, Nyerere hakutumia mamilioni ya fedha kama yeye. Nyerere alijenga vijiji vya ujamaa kwa silaha moja ya kizarendo, wewe unajengea fedha ukizani utafanikiwa (kama fedha ndio kila kitu, kwa nini mnawapeleka JKT hao vijana, mungewaacha muone ndani ya miezi kadhaa ungeambulia kifo cha mende).

Ningekushauri ufananishe BBT yako na sera na kauli mbiu ya "kilimo kwanza" iliyokufa kifo cha Bibi Manka njoo mkutwange, na sio sera ya kilimo na ujenzi wa makazi ya vijiji vya ujamaa.

Ile sera, kama Mwalimu angesinhekabidho nchi kwa Mzanzibari akakabidhi kwa Watanganyika, sasa ingekuwa mbali sana.

Nimekusikia unasema raisi ameagiza na vijana wa Zanzibari waungane na Watanganyika. Hapo BBT, je, wizara ya kilimo ipo chini ya Muungano? Yaani, wewe ni wa Tanganyika au Zanzibari? Natambua vijana wa Zanzibari mmewaunganisha, je, watapewa ardhi ya Tanganyika? Je, kuna eneo ambalo liko Zanzibari nalo mmelitenga kuligawa kwa vijana wa BBT kutoka Bara? Au ndivyo hivyo, wao waruhusiwa kutula, ila sisi tuwaruhusiwa kuwaonja, ila sio kuwala?
 
Kwa taarifa yake Bashe vijiji vya ujamaa vilivyoanzishwa bado vipo na ndivyo vilifanikisha kujengwa shule na zahanati na kuwepo kwa makazi rasmi ya wananchi katika sehemu moja.

BBT ya Bashe ni janga la Taifa kwa sababu wengi wa wanaokusanywa si vijana wenye nia ya dhati ya kuishi mashambani bali ni wasaka fursa ya kutumia fedha za umma.

Bashe atambue kuwa yeye si Waziri wa Muungano bali Tanganyika hivyo kutumia fedha za Watanganyika kuwaneemesha Wazanzibari ni ufisadi. Kujikomba kwake kwa Samia hakumsaidii bali kunamuangamiza!
 
Mwalimu Nyerere na sera ya vijiji vya ujamaa haitofutika kamwe, Ila nakuakikishia BBT ya Bashe na Rais Samia inaweza kufa kifo cha mende endapo mabilioni ya fedha yanayotumika paspo uzingativu WA uzarendo ukiendelea.

Leo waziri Bashe,ameponda live live sera ya uanzishwaji WA vijiji vya ujamaa yakuwa ni Sera iliyofeli haifai kulinganishwa na BBT yake na Rais wake.
Namtaka atambue,Nyerere hakutumia mamilioni ya fedha kama yeye.
Nyerere alijenga vijiji vya ujamaa Kwa silaha Moja ya kizarendo, wewe unajengea fedha ukizani utafanikiwa,(kama fedha ndo kila kitu Kwa nini mnawapeleka jkt hao vijana mungewaaacha muone ndani ya miezi kadhaa ungeambulia kifo cha mende).

Ningekushauri ufananishe BBT yako na sera na kauli mbiu ya kilimo Kwanza iliyokufa kifo cha Bibi Manka njoo mkutwange na sio Sera ya kilimo na ujenzi WA makazi ya vijiji vya ujamaA.

Ile Sera kama mwalimu hasinhekabidho nchi Kwa mzanzibari akakabidhi Kwa watanganyika sasa ingekuwa mbali sana.

Nimekusikia unasema raisi ameagiza na vijana WA zanzibari waungane na watanganyika hapo BBT je wizara ya kilimo IPO chini ya Muungano?yaani wewe ni WA Tanganyika au zanzibari?
Natambua vijana WA zanzibari mmewaunganisha je watapewa aridhi ya Tanganyika?je kuna eneo ambalo liko zanzibari nalo mmelutenga kuligawa Kwa vijana WA BBT kutoka Bara?

Au ndo hivyo wao waruhusiwa kutula Ila sie twaruhusiwa kuwaonja ILa sio kuwala?.
Acheni siasa Kila kwenye Kila kitu acha watu wafanye kazi hakuna mradi usiotumia fedha hata huo ujamaa ulikula mabilioni ya fedha pia hata Nyerere alikiri kuwa Kuna baadhi ya mambo alikosea au alishauriwa vibaya
 
Tanzania ina vijana wangapi? BBT imechukuwa vijana wangapi? Itachukuwa miongo mingapi %5 ya vijana kujiunga na mradi huu? Fedha hizo za kufadhiri BBT zinatoka kwenye mfuko wetu au mhisani?
 
Vijiji vya ujamaa vimesaidia nini?.
1) Umaskini upo pale pale.
2) Tatizo la maji lipo pale pale.
3) Elimu duni ipo pale pale.
4) Magonjwa na matibabu upo pale pale.
5) Vijijini hakuna maendeleo yoyote.

Alie faidika na ujamaa wa vijijini ni CCM tu kuwepo madarakani milele kwa kutufanya misukule.
Sera ya vijiji ya miaka minane ni sawa na ndoa ya utotoni inayotambulika kama ni ubakaji.
 
Mwalimu Nyerere na sera ya vijiji vya ujamaa haitofutika kamwe, Ila nakuakikishia BBT ya Bashe na Rais Samia inaweza kufa kifo cha mende endapo mabilioni ya fedha yanayotumika paspo uzingativu WA uzarendo ukiendelea.

Leo waziri Bashe,ameponda live live sera ya uanzishwaji WA vijiji vya ujamaa yakuwa ni Sera iliyofeli haifai kulinganishwa na BBT yake na Rais wake.
Namtaka atambue,Nyerere hakutumia mamilioni ya fedha kama yeye.
Nyerere alijenga vijiji vya ujamaa Kwa silaha Moja ya kizarendo, wewe unajengea fedha ukizani utafanikiwa,(kama fedha ndo kila kitu Kwa nini mnawapeleka jkt hao vijana mungewaaacha muone ndani ya miezi kadhaa ungeambulia kifo cha mende).

Ningekushauri ufananishe BBT yako na sera na kauli mbiu ya kilimo Kwanza iliyokufa kifo cha Bibi Manka njoo mkutwange na sio Sera ya kilimo na ujenzi WA makazi ya vijiji vya ujamaA.

Ile Sera kama mwalimu hasinhekabidho nchi Kwa mzanzibari akakabidhi Kwa watanganyika sasa ingekuwa mbali sana.

Nimekusikia unasema raisi ameagiza na vijana WA zanzibari waungane na watanganyika hapo BBT je wizara ya kilimo IPO chini ya Muungano?yaani wewe ni WA Tanganyika au zanzibari?
Natambua vijana WA zanzibari mmewaunganisha je watapewa aridhi ya Tanganyika?je kuna eneo ambalo liko zanzibari nalo mmelutenga kuligawa Kwa vijana WA BBT kutoka Bara?

Au ndo hivyo wao waruhusiwa kutula Ila sie twaruhusiwa kuwaonja ILa sio kuwala?.
"Kizarendo" ndo nn!
 
Unaonekana umekasirika sana kukosolewa Nyenyere wenu.
Yaani huyo kwenu ninmtakatifu, asiguswe mnatoa povu
 
Acheni siasa Kila kwenye Kila kitu acha watu wafanye kazi hakuna mradi usiotumia fedha hata huo ujamaa ulikula mabilioni ya fedha pia hata Nyerere alikiri kuwa Kuna baadhi ya mambo alikosea au alishauriwa vibaya
Kwao Nyenyere hakosei...
 
Du kla 2025 bado mbali sana du maana kila kinachoendelea naona kma sion kipo kwa ajili ya nani maana hovyo hovyo tu
 
Back
Top Bottom