CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

RockSpider;9388361]Pole babu ! Kumbe wewe ndiyo ulitandikwa viboko kwa kula rushwa!!! Haya tuambie lini Tanzania iliuzwa? Mnunuzi ni nani? Mbona sioni kosa Nyerere kama unavyojaribu kuainisha hapo juu? Mbona Model wanazotumia successful MNCs ndizo hizo hizo? Mbona wao wanatoa bonus za shares kwa watumishi wao ili wawe na sense of ownership? wewe hutambui kuwa vyama mahala pa kazi huleteleza ummoja na kuondoa migongano?... isitoshe JUWATA ilikuwa ni ktk Jumuiya za TANU tatizo liko wapi? ...Unakataa kuwa Tanzania ilichonganishwa kupigana na Amin? unakataa kuwa Uingereza na USA hawakuhusika ktk vita vya Kagera, sabotage kwenye mashirika yetu ya umma? kwanini prof Stieglitz alijiuzulu kama mshauri wa kiuchumi wa Clinton baada ya Mwalimu kuingilia kati ubinafsishaji wa NBC? Nani wanaidhoofisha TANESCO? STAMICO, TPDC?...Unless your stinking puppet, I bet wewe si Mtanzania...

Haya tuambie lini Tanzania iliuzwa?
Uuzwaji wa Tanzania ulianzia pale Nyerere alipocheza na historia ya nchi kwa kuacha uhalisia wa historia ya nchi na kuweka mabo ambayo aliyataka yeye kwa kifupi huo ndio ulikuwa mwanzo wa unafiki hapa nchini.

Mbona wao wanatoa bonus za shares kwa watumishi wao ili wawe na sense of ownership?
Bonus za shares ni tofauti na kujaza makada wa vyama vya siasa ambao ni lumpens katika management za economic ventures.

wewe hutambui kuwa vyama mahala pa kazi huleteleza ummoja na kuondoa migongano?... isitoshe JUWATA ilikuwa ni ktk Jumuiya za TANU tatizo liko wapi?
Hapa unazungumzia vyama vya wafanyakazi, Nyerere alichofanya ni kuweka matawi ya TANU mahala pa kazi na kutengeneza mfumo amboa makda wa TANU wakawa na nguvu kuliko managemeny za mashirika husika. Where on earth model hiyo imewahi kuwa successful. JUWATA ilikuja baadaye wakati chama cha wafanyakazi kilikuwa kinaitwa NUTA, lakini hakikuwa na nguvu yeyeote ndio maana matawi ya TANU yakawa mahala pa kazi. Kama hmajui historia ya unafiki wa nchi hii semeni tuwafundishe sio mnaleta ubishi tu!!

Unakataa kuwa Tanzania ilichonganishwa kupigana na Amin? unakataa kuwa Uingereza na USA hawakuhusika ktk vita vya Kagera
Tanzania kama nchi hatukuingia vitani kwa sabau zozote za kinchi bali mambo binafsi kati ya Mwalimu Nyerere kwa kumhifadhi Rais Milton Obote aliyepinduliw ana Nduli Iddi Amin Dada, tokea apinduliwe early 1970s Nyerere alimhifadhi hapa nchini sehemu moja ijulikanayo Kwembe katika Wilya ya Kinondoni; na vita vya Kagera vilkuwa 1978/9, Je hapo kuna nchi yeyote iliyotuchonganisha au mi Nyerer alitumia madaraka yake vubaya kuingiza nchi katika vita. Hata haya mambo obvious hamyajui. No research no right to speak.

sabotage kwenye mashirika yetu ya umma? kwanini prof Stieglitz alijiuzulu kama mshauri wa kiuchumi wa Clinton baada ya Mwalimu kuingilia kati ubinafsishaji wa NBC?
Waliohusika na hujuma katika mashirika ya umma ni TANU na CCM na viongozi wake waliokuwa wakijichotea fedha kiholela. Walifilisi pia vyama vya ushirika hata hilo ulijui pia?
Sasa wizi kawafundisha mwenyewe kupitia TANU na CCM; ambapo kila walikuwa wakiboronga shirika moja alikuwa akiwahamishi katika shirika lingine ili waendele kula na kuiba badala ya kuwafikisha mahakamani ili wachukuliwe hatua za kisheria. Hii ilifanyika kw akuwa walikuwa ni makda wa TANU na CCM. Nyerer alipong'atuka 1983 na kukaa kando ndipo akapata fursa ya kuona wizi wa watu wake na kuanza kupiga kelele but it was too late.
Dhambi kubwa kuliko zote aliyotenda Nyerere mara tu alipochukua madaraka in 1961 ilikuwa ni kuua freedom of association and speech ya watanzania through dictatorial means kama vile kuweka watu vizuizini n.k hivyo akatutawala alivyotaka, Kwa kuwa alisha wageuza watanzania makondoo hata alipoanza kupiga kelele kuhusu wizi na ufujaji wa mali ya umma baada ya kung'atuka hakuweza kupata supoort kwa kuwa watanznaia walijua ni mnafiki kw akuwa wezi hawa alipofinyanga na kuwaumba yeye kwa mikono na matendo yake. Na pia Nyerer alikuwa akiwapigia kelele makondoo (powerless citizens) wasiyoweza kuchukua hatua zozote za kufaa kurekebisha hali aliyoijenga kw miaka zaidi ya 20. Na hadi leo ndio tulivyo ndio maana watanzania hatuwezi kuchuku hatua zozote

Nani wanaidhoofisha TANESCO? STAMICO, TPDC?.
Waliodhohofisha mashirika yote ya umma ikiwemo hayo uliyoyataja (TANESCO, STAMICO, TPDC) ni viongozi wa TANU na CCM, na Nyerere hawezi kukwepa lawama hata afanyeje. Tatizo ninyi ni watoto wadogo hamjui historia na hata vitabu hamsomi. Kanunue miongozo ya TANU na Nyerere ya miaka 70 ndipo uje tufanye mjadala kama sera hizo zilizkuwa na uwezo wa kuendesha uchumi.

Unless your stinking puppet, I bet wewe si Mtanzania
Kwa watu kama ninyi wavivu wa kusoma na kufikiri Mtanzani ni lazima awe mnafiki, msema ukweli mnampachika majina kama hayo but huo niliosema ndio ukweli na dark history of Tanzania
 
Tupe link ya hiyo National Archives kaka tukachimbe wenyewe....

msiitupie hoja hiyo pembeni; mngejua tu; nenda kwenye National Archives mtashangaa walichokuwa wanazungumza wamarekani na Britain kuhusu Tanzania. Docs zao nyingi zilikuwa zina ban ya miaka 30; na nyingine miaka 40... za interests hasa ni za wakati wa mapinduzi na muungano na zile za wakati wa Azimio la arusha...
 
Muslims thinks about the same, and whites thinks about the same. Hizo link ulizotoa ni bogs na tabloid stuff.

Unatofautisha vipi Isarelis, jews, American jews, European jews, Iranian jews etc etc....do they work as one political entity, religious entity, racial entity....etc
Do you have any jewish friend, have you lived with them, have you been where most jews are in the world, do you know what are normardic????

Ukijibu maswali haya na kusoma kwa undani unaweza kujua na kuelewa kwa undani

Tatizo kubwa ni kuwa hapa nyumbani watu wengi wamekuwa brain washed na biblia, na kudhani kila kilichoandikwa mle ni kweli.


weka udini pembeni unapotafuta facts aidha kama unataka kubishana sawa!
 
weka udini pembeni unapotafuta facts aidha kama unataka kubishana sawa!

Mkuu sio suala la kubishana, najaribu kukueleza kuhusu complexity ya issue. Kuna dini, kuna rangi, kuna ukabila, kuna utaifa na mengine mengi. lakini tatizo baadhi ya watu hapa Tanzania, hasa wakristo wenye mrengo wa kulia, wanafikiri kwa kutumia yale waliyosoma kwenye biblia, as if hiyo ndio kila kitu kinachoeleza kuhusu suala la Jews and Israel.
 
Some references za Tanzania kwenye National Archive:



na hapa:

wanakiita Checklist of African Problems:



The Americans took a lead from Nyerere:




National Security Estimates Oct 21, 1976



Miaka mitano kabla yake, Wamerekani katika hicho hicho wanachokiita National Security Estimates waliandika hivi:



Na kuhusu Political Stability waliandika hivi, wakiwa wanafuatilia vinavyoendelea Tanzania:



hivyo ni vichache tu...
Wengi wamesahau hii mada
 
Back
Top Bottom