CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

Hakuna lolote hapo....yaani Wanyamwezi wahangaike na kukosa usingizi kisa kanchi kadogo na maskini ka kutupwa kaitwako Tanganyika/ Tanzania....I'm not buying it.....

Hawa jamaa wana ujasusi wa muda mrefu na tanganyika inajulikana tokea enzi ya Mjerumani kuhusu natural resources, na wao hawana masikhara ni exploit tu tena vibaya! Jiulize interest ya karibuni ya Marekani Tanzania inatokea wapina kama Africa ingekuwa imeungana ingekuwa ngumu ku infiltrate, same old rule, DIVIDE AND CONCUR
 
Soma BIBLIA upate maarifa!

Mkuu hebu usitake kuchafua uzi hapa!
Hawakupata maarifa wale VIONGOZI wa makanisa makubwa kabisa Duniani na kila.leo wanafunguliwa kesi za aibu kabisa,
Tuje tupate maarifa sisi wabongo!?

Ovyoooooo!
 
hivi ungesema tu unasoma koran imekamilika na inakutosha ungepungukiwa na nini?
 
Israel is a US creation. US is more than 200 years old way older than Israel, as a state and country was there long before Israel was born. Israel was Born in New York. It was a deal between Europeans and Americans to have it started. Europeans wanted jews out of Europe and settle somewhere in Uganda or anywhere where they could be welcomed, Americans needed a nation they can trust in middle east so they chose middle east.

Fundamental Christians believe otherwise, they believe that they are a God creation, Chosen ones, and some of them as black they look, they even call themselves children of Israels. Hii ndio Tanzania.

if the Jews ain't the depended people then why this;
[h=3]Six Jewish Companies Control 96% of the World’s Media[/h]
theunjustmedia.com/Media/Six%20Jewish%20Companies...
[h=3]The Jews Run the World - Good News About God[/h]
www.goodnewsaboutgod.com/.../jews/jews_run_world.htm
[h=3]How Jews Control America | Real Jew News[/h]
www.realjewnews.com/?p=338
after you go through that search, the decision is up on you whether to believe it or not.....GO!
 
Hapa hamna lolote. Tanzania enzi hizo ilikuwa maskini wa kutupwa. Kama ni kweli Wamarekani walikoseshwa usingizi na sera za Nyerere basi walichemsha. Bado siamini....hizi ni stori tu.

ebhanaeee!!,
kumbe we jamaa ulianza ubishi/ujuaji kitambo sana.2008?.
teh teh.
 
Wadau wa JF,

Kuna hii stori nilipata kuisikia kitambo ila sikuweza kufuatilia ukweli wake. Kwa mnaojua undani wake (kama ni kweli au la) naomba michango yenu.

Stori yenyewe ni kwamba baada ya Nyerere kutangaza sera ya Ujamaa huku dunia ikiwa imegawanyika kati ya ubepari na ukomunisti, upande wa ubepari (hususani kinara wao Marekani na mchumba wao Uingereza) walikuwa na shauku ya kujua "Ujamaa" ni kitu gani.

Inasemekana jibu walilopata toka kwa Nyerere ni kwamba Ujamaa sio tafsiri ya moja kwa moja ya ukomunisti kama ambavyo walikuwa wanadhania. Bali ni sera inayolenga kuunganisha jamii kwa kuzingatia utamaduni wa asili wa kushirikiana uliokuwepo miongoni mwa Waafrika. Kwamba lengo sio kuiga sera za nje za kiuchumi bali kujenga nguvu za kiuchumi kwa kuzingatia utamaduni na mazoea tuliyokuwa nayo waafrika hata kabla ya ukoloni.

Inasemekana Wamarekani na Waingereza baina yao walikiri kwamba Nyerere alikuwa amepatia kwa kuzingatia utamaduni na asili za watu katika kutengeneza sera ya kiuchumi. Kwa upande mwingine inasemekana waliona kuwa mafanikio ya sera yake mpya (ambayo walihisi ingefanikiwa) yangesababisha nchi zingine za Afrika kuiga mfumo wa Tanzania na hivyo kutengeneza muungano wa kiafrika ambao wao hawakupenda utokee.

Hivyo inasemekana CIA walitoa classified memo kwenda M16 ikiwa na agizo moja kuu kwamba M16 wahakikishe Nyerere hafanikiwi.

Mdau aliyenipa hii stori anadai memo hiyo iligundulika hivi karibuni baada ya kuexpire muda wake toka kwenye classified materials.

Binafsi ningependa kupata resources za kuthibitisha kama hii stori ni kweli au sio kweli. Wenye data naomba tuhabarishane.

//DM
Uzi huu unakweli mwingi sana, Kwani kufikia mwaka 1972 Tanzania ilikuwa Juu sana kwa kusafirisha mazao ya Kilimo kama Pamba, Korosho, Katani, Kahawa, Karafuu, Mwani, Tumbaku na mazao ya misitu...Pia Tanzania ilikuwa na Viwanda vya Vingi sana kufikia 1975... Harry Kissinger secretary of US by then alinukuliwa akisema kuwa Tanzania ndiyo nchi yenye ushawishi mkubwa katika kanda ya Africa Mashariki na kati kutokana na kuwaadaa na hatimae kuwaweka madarakani zaidi ya Marais 5 majirani! Inasemekana mikakati iliyotumiwa na MI6 na CIA ilikuwa kutupiganisha vita ili kuharibu uchumi wa nchi yetu! IDD AMIN alitumiwa na Waingereza na JKN aliingia Mkenge tukaichapa Uganda from South to North kwa Gharama zetu wenyewe! Bahati Mbaya sana nchi washirika nao walikuwa hoi kiuchumi hivyo walishindwa kutusaidia! Zaidi ya yote inasemekana Viwanda na Mashirika ya Umma yalihujumiwa na watu ambao JKN aliwasomesha na baadae kuwapa dhamana ya kutuletea maendeleo! sadly watu wale wale ndiyo wanaoingia mikataba ya hovyo kuliko ile ya Chief Mangungo wa Msovero! ...Tanzania tuliendelea kupigwa economical sanction kwa miaka mingi hadi tulipolazimishwa kukubaliana na masharti yote ya WB, IMF na Western Imperialists wakati wa BWM... after Mwalimu, Tanzania became Western Darling!!! Tunakilimbitwa kwa kwenda mbele! In every millisecond tunakamuliwa $$$ thru cellphone, high electricity bills, bank's surcharges etc... RIP Mwalimu JKN...
 
Rock Spider Muongo mkubwa sana wewe hadithi zako zinaonyesha kuwa haukuwepo wakati huo kushuhudia utawala wa Nyerere, hivyo unatakiwa kutuuliza tuliokuwepo. Kosa la Nyerere alikuwa ni muumini wa KARL MAX hivyo akataka kuendesha uchumi kwa maelekezo ya KARL MARX pasipo kutambua mchango wa ENTERPRENUER. Nyereer alifikia hautua ya kuwataka waajiri wote wawagawie waajiriwa faida at the rate of 50% of the profits badala ya kuwalipa mishahara. Where on earth has this happned and became successful model of running ana economy?

Aidha alifungua matawi ya TANU katika kila economic venture iliyokuwepo iwe ni mashirka ya umma aliyotaifisha na kuwajaza makada wa TANU katika management za hizi economic ventures kwa nia ya kulinda siasa zake zake potofu.

Viongozi wenzake walipotoa ushauri kupinga tha t model of running the economy, aliwapachika majina ya wasaliti, wapinga maendeleo n.k na mifano ipo hai akina KAMBONA n.k. Baadhi ya wabunge walipopinga kitendo cha kuifanya nchi hii kuwa ya chama kimoja akawaweka kizuizin na matendo yanayofanana na hayo. In short Nyerere alikuw ani dikteta.

Ni kwei Nyerere alisomesha wataalamu wengi lakini alikuwa akiwa frustrate kutokana na makada wa TANU kuwa na nguvu za kiutendaji kuliko professioanals. Nitawapa mfano hai mmoja. Pale Muhimbili alikuwepo Daktari bingwa mmoja jina ninaliihifadhi. Dr huyu alikuwa na kliniki kila siku za Jumanne na Alhamisi.
Messenger/cleaner wa ofisi yake alikuwa ni Mwenyekiti wa tawi la TANU la Muhimbili. Huyu jamaa alikuwa hafanyi kazi yeyote badala yake alikuwa kitembea na miongozo ya TANU ya miaka 1970s mmoja wa mwongozo huo ulikuwa ukidai kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI".

Kwa kifupi huyu
messenger/cleaner alikuwa hafanyi kazi yeyote isipokuwa kupiga soga za Yanga na Simba siku nzima na masula ya siasa za ujamaa na kujitegemea mahali pa kazi. Licha ya malalamiko dhidi yake kufikishwa katika menejimenti, haikuwa rahisi kuchukuliwa huta zozote za kinidhamu kwa kuwa alikuwa ni kiongozi mwandamizi wa tawi la TANU la Muhimbili na viongozi wa ngazi hii walikuwa na uwezo wa kusababisha mabadiliko ya menejimenti wakati wowote. Kifupi walikuwa ni miungu watu.

Baada ya Dr huyu kama mkuu wa kitengo kuchoshwa na vitendo vya office cleaner huyu vya kutoitimiza wajibu wake, Dr bingwa huyu akalazimika na yeye kutafuta kijitabu cha TANU chenye huo mwongozo aliokuwa akiutumia
messenger/cleaner huyo, wenye kusema kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI".

Siku ya kiliniki iliyofuata Dr bingwa aliwahi mpema akafanya usafi wa ofisi ya Doctor kwa kuweka kila kifaa mahali pake tayari kwa kiliniki. Muda wa klinili ulipowadia Dr bingwa akakaa katika benchi analopaswa kukaa yule messenger/cleaner.

Baada ya muda mrefu kupita pasipo wagonjwa kupata huduma huku wakimwona Dr bingwa kaka nje, wagonjwa wakaandamana hadi kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili. Mkurugebzi alipomfuata Dr bingwa kutaka kujua kulikoni Dr bingwa akamatolea Mkurugenzi mwongozo wa TANU
wenye kusema kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI". Dr bingwa akadai kwa kuwa binadamu wote ni sawa, yeye tayari alikuwa amefanya usafi wa ofisi ya Doctor, wajibu ambao ulipaswa kutekelezwa na messenger/cleaner; hivyo siku hiyo messenger/cleaner huyo ilikuwa zamu yake kuwahudumia wagonjwa.

Kilichofuata na mkutano wa viongozi wa Wilaya wa TANU kufanyika ndipo huyo
messenger/cleaner akaweza kuondolewa katika ajira ya Muhimbili na kupelekwa kufanya kazi za TANU.

Katika utaratibu huu wa kuendesha uchumi na huduma huwezi kunishawishi kuwa Nyerere alihujumiwa, bali alikuwa ni confused man, na watanzania hatukuweza kulitambua hilo hadi alipokufa.

Katika kuthibitisha kuwa Nyerere aliuua ENTERPRENUERSHIP spirit, katika moja ya vikao vya Kamati Kuu ya TANU, Hayati Rashid Kawawa aliwahi kutoa tuhuma dhidi ya wajumbe wenzake kuwa walikuwa wakabaiala kwa kuwa tu waikuwa na mashamba na kufuga mifugo. Mtu aliyekuwa kilengw ana tuhuma hizo ni Hayati Johnson Kihampa, mmoja wa waanilishi wa maeno ya vijiji vya Kibamba. Yaani lilikuwa ni kosa kuwa na shamba na mifugo kw akuwa kwa tafsiri yao ya wakati huo uylikuwa ukiwanyonya wake uliowaajiri.

Cha kushangaza baada ya takribani miaka 15 kupita Hayati Rashid Kawawa, naye akahamia katika Kijiji cha Kiruvia na kufungua shamba na kuajiri watu.

Siku moja maafisa waandamizi watatu wa serikali
waliitwa ikulu kwa Nyerere. maafisda hao ni pamoja na Hayati Maeda, aliyekuwa Kamishna wa Mifugo katiam Wizara ya Kilimo na mmiliki wa shamba na bwawa lililoko upande wa kulia wa barabara ya Morogroro, eneo la Temboni kwa Musuguri. Baada ya kufika huko na kukutana Nyerere aliwauliza kuwa amepata taarifa kuwa maafisa hao ni mabepari wakubwa kwa kuwa na mashamba makubwa sana na kuajiri idadi kubwa ya watu.

Walioitwa wandai aliyewaokoa alikuwa Ndg Maeda aliyemuuliza Nyerere "Mimi kama Kamishna wa Mifugo sikumbuki kama kuna circular yeyote inayomzuia afisa wa serikali asijihusishe na kilimo na ufugaji" Nyerer baada ya kusikia maelezo hayo alikaa kimya kwa takribani dakika 5 na akampatia Ndg Maeda maagizo ya kutayarisha circular inayotaja ukomo wa idadi ya mifuago maafisa wa serikali wanayopaswa kuwa nayo.

katima staili hii ya kuendesha uchumi, je unahitaji nchi yeyote kukuhujumu au kiongozi unawahujumu wananchi wako mwenyewe?

Muongo mkubwa sana wewe hadithi zako zinzonyesha kuwa haukuwepo wakati huo, hivyo unatakiwa kutuukiza sisi. Kosa la Nyerere alikuw ani muumini wa KARL MAX hivyo akataka kuendesha uchumi kwa maelekezo ya KARL MARX pasipo kutambua mchango wa ENTERPRENUER. Nyerer alifikia hautua ya kuwataka waajiri wote wawagawie waajiri wao faida at the rate of 50% of the profits badala ya kuwalipa mishahara.

Aidha alifungua matawi ya TANU katika kila economic venture iliyokuwepo iwe ni mashairka ya umma aliyotaifisha na kuwajaza makada wa TANU katika management za hizi economic ventures kwa nia ya kulinda siasa zake zake potofu. Kila aliyempa ushuri alipachikwa jina la msaliti na mifano ipo hai akina KAMBONA n.k

Pole babu ! Kumbe wewe ndiyo ulitandikwa viboko kwa kula rushwa!!! Haya tuambie lini Tanzania iliuzwa? Mnunuzi ni nani? Mbona sioni kosa Nyerere kama unavyojaribu kuainisha hapo juu? Mbona Model wanazotumia successful MNCs ndizo hizo hizo? Mbona wao wanatoa bonus za shares kwa watumishi wao ili wawe na sense of ownership? wewe hutambui kuwa vyama mahala pa kazi huleteleza ummoja na kuondoa migongano?... isitoshe JUWATA ilikuwa ni ktk Jumuiya za TANU tatizo liko wapi? ...Unakataa kuwa Tanzania ilichonganishwa kupigana na Amin? unakataa kuwa Uingereza na USA hawakuhusika ktk vita vya Kagera, sabotage kwenye mashirika yetu ya umma? kwanini prof Stieglitz alijiuzulu kama mshauri wa kiuchumi wa Clinton baada ya Mwalimu kuingilia kati ubinafsishaji wa NBC? Nani wanaidhoofisha TANESCO? STAMICO, TPDC?...Unless your stinking puppet, I bet wewe si Mtanzania...
 
Mkuu hebu usitake kuchafua uzi hapa!
Hawakupata maarifa wale VIONGOZI wa makanisa makubwa kabisa Duniani na kila.leo wanafunguliwa kesi za aibu kabisa,
Tuje tupate maarifa sisi wabongo!?

Ovyoooooo!

BIBLIA imeandika vizuri sana suala la ISRAEL na PALESTINA.
Kwakuwa mwanadamu anamoyo mgumu...amechagua kwenda kinyume na MUNGU.
Ukisoma BIBLIA (kuhusu taifa la ISRAEL) wala hautosumbuka na mambo ya EUROPE na MAREKANI.

Kwataarifa yako tu, WAISRAEL/WAYAHUDI....ni watu weusi! Waisrael/wayahudi wa ukweli kizazi chao kwasasa kinapatikana Ethiopia na Sudani.

Hawa waisrael (white jews) wanaopapatikiwa sasa ni feki!

Here are some video for you to watch:

THE REAL ISRAELITES ARE BLACK NEW EVIDENCES - YouTube

True Biblical HISTORY - African Hebrew Israelites - YouTube

True Biblical HISTORY - African Hebrew Israelites - YouTube
 
Rock Spider Muongo mkubwa sana wewe hadithi zako zinaonyesha kuwa haukuwepo wakati huo kushuhudia utawala wa Nyerere, hivyo unatakiwa kutuuliza tuliokuwepo. Kosa la Nyerere alikuwa ni muumini wa KARL MAX hivyo akataka kuendesha uchumi kwa maelekezo ya KARL MARX pasipo kutambua mchango wa ENTERPRENUER. Nyereer alifikia hautua ya kuwataka waajiri wote wawagawie waajiriwa faida at the rate of 50% of the profits badala ya kuwalipa mishahara. Where on earth has this happned and became successful model of running ana economy?

Aidha alifungua matawi ya TANU katika kila economic venture iliyokuwepo iwe ni mashirka ya umma aliyotaifisha na kuwajaza makada wa TANU katika management za hizi economic ventures kwa nia ya kulinda siasa zake zake potofu.

Viongozi wenzake walipotoa ushauri kupinga tha t model of running the economy, aliwapachika majina ya wasaliti, wapinga maendeleo n.k na mifano ipo hai akina KAMBONA n.k. Baadhi ya wabunge walipopinga kitendo cha kuifanya nchi hii kuwa ya chama kimoja akawaweka kizuizin na matendo yanayofanana na hayo. In short Nyerere alikuw ani dikteta.

Ni kwei Nyerere alisomesha wataalamu wengi lakini alikuwa akiwa frustrate kutokana na makada wa TANU kuwa na nguvu za kiutendaji kuliko professioanals. Nitawapa mfano hai mmoja. Pale Muhimbili alikuwepo Daktari bingwa mmoja jina ninaliihifadhi. Dr huyu alikuwa na kliniki kila siku za Jumanne na Alhamisi.
Messenger/cleaner wa ofisi yake alikuwa ni Mwenyekiti wa tawi la TANU la Muhimbili. Huyu jamaa alikuwa hafanyi kazi yeyote badala yake alikuwa kitembea na miongozo ya TANU ya miaka 1970s mmoja wa mwongozo huo ulikuwa ukidai kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI".

Kwa kifupi huyu
messenger/cleaner alikuwa hafanyi kazi yeyote isipokuwa kupiga soga za Yanga na Simba siku nzima na masula ya siasa za ujamaa na kujitegemea mahali pa kazi. Licha ya malalamiko dhidi yake kufikishwa katika menejimenti, haikuwa rahisi kuchukuliwa huta zozote za kinidhamu kwa kuwa alikuwa ni kiongozi mwandamizi wa tawi la TANU la Muhimbili na viongozi wa ngazi hii walikuwa na uwezo wa kusababisha mabadiliko ya menejimenti wakati wowote. Kifupi walikuwa ni miungu watu.

Baada ya Dr huyu kama mkuu wa kitengo kuchoshwa na vitendo vya office cleaner huyu vya kutoitimiza wajibu wake, Dr bingwa huyu akalazimika na yeye kutafuta kijitabu cha TANU chenye huo mwongozo aliokuwa akiutumia
messenger/cleaner huyo, wenye kusema kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI".

Siku ya kiliniki iliyofuata Dr bingwa aliwahi mpema akafanya usafi wa ofisi ya Doctor kwa kuweka kila kifaa mahali pake tayari kwa kiliniki. Muda wa klinili ulipowadia Dr bingwa akakaa katika benchi analopaswa kukaa yule messenger/cleaner.

Baada ya muda mrefu kupita pasipo wagonjwa kupata huduma huku wakimwona Dr bingwa kaka nje, wagonjwa wakaandamana hadi kwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Muhimbili. Mkurugebzi alipomfuata Dr bingwa kutaka kujua kulikoni Dr bingwa akamatolea Mkurugenzi mwongozo wa TANU
wenye kusema kuwa "BINADAMU WOTE NI SAWA USIWE NYARAPA AU MKARIPIAJI". Dr bingwa akadai kwa kuwa binadamu wote ni sawa, yeye tayari alikuwa amefanya usafi wa ofisi ya Doctor, wajibu ambao ulipaswa kutekelezwa na messenger/cleaner; hivyo siku hiyo messenger/cleaner huyo ilikuwa zamu yake kuwahudumia wagonjwa.

Kilichofuata na mkutano wa viongozi wa Wilaya wa TANU kufanyika ndipo huyo
messenger/cleaner akaweza kuondolewa katika ajira ya Muhimbili na kupelekwa kufanya kazi za TANU.

Katika utaratibu huu wa kuendesha uchumi na huduma huwezi kunishawishi kuwa Nyerere alihujumiwa, bali alikuwa ni confused man, na watanzania hatukuweza kulitambua hilo hadi alipokufa.

Katika kuthibitisha kuwa Nyerere aliuua ENTERPRENUERSHIP spirit, katika moja ya vikao vya Kamati Kuu ya TANU, Hayati Rashid Kawawa aliwahi kutoa tuhuma dhidi ya wajumbe wenzake kuwa walikuwa wakabaiala kwa kuwa tu waikuwa na mashamba na kufuga mifugo. Mtu aliyekuwa kilengw ana tuhuma hizo ni Hayati Johnson Kihampa, mmoja wa waanilishi wa maeno ya vijiji vya Kibamba. Yaani lilikuwa ni kosa kuwa na shamba na mifugo kw akuwa kwa tafsiri yao ya wakati huo uylikuwa ukiwanyonya wake uliowaajiri.

Cha kushangaza baada ya takribani miaka 15 kupita Hayati Rashid Kawawa, naye akahamia katika Kijiji cha Kiruvia na kufungua shamba na kuajiri watu.

Siku moja maafisa waandamizi watatu wa serikali
waliitwa ikulu kwa Nyerere. maafisda hao ni pamoja na Hayati Maeda, aliyekuwa Kamishna wa Mifugo katiam Wizara ya Kilimo na mmiliki wa shamba na bwawa lililoko upande wa kulia wa barabara ya Morogroro, eneo la Temboni kwa Musuguri. Baada ya kufika huko na kukutana Nyerere aliwauliza kuwa amepata taarifa kuwa maafisa hao ni mabepari wakubwa kwa kuwa na mashamba makubwa sana na kuajiri idadi kubwa ya watu.

Walioitwa wandai aliyewaokoa alikuwa Ndg Maeda aliyemuuliza Nyerere "Mimi kama Kamishna wa Mifugo sikumbuki kama kuna circular yeyote inayomzuia afisa wa serikali asijihusishe na kilimo na ufugaji" Nyerer baada ya kusikia maelezo hayo alikaa kimya kwa takribani dakika 5 na akampatia Ndg Maeda maagizo ya kutayarisha circular inayotaja ukomo wa idadi ya mifuago maafisa wa serikali wanayopaswa kuwa nayo.

katima staili hii ya kuendesha uchumi, je unahitaji nchi yeyote kukuhujumu au kiongozi unawahujumu wananchi wako mwenyewe?

Kaka WATANABE

Nimekusoma sana kwenye hii bayana yako kiduchu, nashukuru sana.
 
Last edited by a moderator:
Wadau wa JF,

Kuna hii stori nilipata kuisikia kitambo ila sikuweza kufuatilia ukweli wake. Kwa mnaojua undani wake (kama ni kweli au la) naomba michango yenu.

Stori yenyewe ni kwamba baada ya Nyerere kutangaza sera ya Ujamaa huku dunia ikiwa imegawanyika kati ya ubepari na ukomunisti, upande wa ubepari (hususani kinara wao Marekani na mchumba wao Uingereza) walikuwa na shauku ya kujua "Ujamaa" ni kitu gani.

Inasemekana jibu walilopata toka kwa Nyerere ni kwamba Ujamaa sio tafsiri ya moja kwa moja ya ukomunisti kama ambavyo walikuwa wanadhania. Bali ni sera inayolenga kuunganisha jamii kwa kuzingatia utamaduni wa asili wa kushirikiana uliokuwepo miongoni mwa Waafrika. Kwamba lengo sio kuiga sera za nje za kiuchumi bali kujenga nguvu za kiuchumi kwa kuzingatia utamaduni na mazoea tuliyokuwa nayo waafrika hata kabla ya ukoloni.

Inasemekana Wamarekani na Waingereza baina yao walikiri kwamba Nyerere alikuwa amepatia kwa kuzingatia utamaduni na asili za watu katika kutengeneza sera ya kiuchumi. Kwa upande mwingine inasemekana waliona kuwa mafanikio ya sera yake mpya (ambayo walihisi ingefanikiwa) yangesababisha nchi zingine za Afrika kuiga mfumo wa Tanzania na hivyo kutengeneza muungano wa kiafrika ambao wao hawakupenda utokee.

Hivyo inasemekana CIA walitoa classified memo kwenda M16 ikiwa na agizo moja kuu kwamba M16 wahakikishe Nyerere hafanikiwi.

Mdau aliyenipa hii stori anadai memo hiyo iligundulika hivi karibuni baada ya kuexpire muda wake toka kwenye classified materials.

Binafsi ningependa kupata resources za kuthibitisha kama hii stori ni kweli au sio kweli. Wenye data naomba tuhabarishane.

//DM

Tanganyika kwanza, Tanganyika kwanza kama mawazo ya wananchi walivyopendekeza na siyo mapendekezo ya wanaojua shida walivyo pendekeza na siyo kama mawazo ya wasio na uchungu wachumia tumbo wa sisim
 
wewe ni mke wa mtu au unatafuta mke mwenza? jaribu kwa Billy Cosby.

Mwana wa.kufikia.!.leo unanikana mbele ya watu!?
Yaani na kumlea mama Matola mwaka wa tatu leo shukrani pi hutoi!?

Amma mtoto wa zinaa ni balaa tu!
Leo kwa kukufundisha adabu hakuna msosi home!
Namchukua mama Matola tunaenda zetu kula chips dume palee rangi tatu stendi.

We utakula jeuri yako! Blody bascuti!
 
Last edited by a moderator:
Soma BIBLIA upate maarifa!

Kitabu kinachoitwa Biblia nilisoma zamani sana miaka 20 iliyopita, na bahati mbaya bilblia sio soruce ya information kwangu. Kijijini kwetu kapalamsenga watu wasio na pesa na wanaopenda, wanasoma biblia tu kwa kuwa inapatikana free of charge toka zamani.
 
if the Jews ain't the depended people then why this;
Six Jewish Companies Control 96% of the World's Media

theunjustmedia.com/Media/Six%20Jewish%20Companies...
The Jews Run the World - Good News About God

www.goodnewsaboutgod.com/.../jews/jews_run_world.htm
How Jews Control America | Real Jew News

www.realjewnews.com/?p=338
after you go through that search, the decision is up on you whether to believe it or not.....GO!

Muslims thinks about the same, and whites thinks about the same. Hizo link ulizotoa ni bogs na tabloid stuff.

Unatofautisha vipi Isarelis, jews, American jews, European jews, Iranian jews etc etc....do they work as one political entity, religious entity, racial entity....etc

Do you have any jewish friend, have you lived with them, have you been where most jews are in the world, do you know what are normardic????

Ukijibu maswali haya na kusoma kwa undani unaweza kujua na kuelewa kwa undani

Tatizo kubwa ni kuwa hapa nyumbani watu wengi wamekuwa brain washed na biblia, na kudhani kila kilichoandikwa mle ni kweli.
 
Kitabu kinachoitwa Biblia nilisoma zamani sana miaka 20 iliyopita, na bahati mbaya bilblia sio soruce ya information kwangu. Kijijini kwetu kapalamsenga watu wasio na pesa na wanaopenda, wanasoma biblia tu kwa kuwa inapatikana free of charge toka zamani.

Pole sana!
 
Back
Top Bottom