CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

Nyani Ngabu naona umeamua tu kubisha. Ila fuatilia utajiri wa dunia hii ni nani wameushikilia. Angalia vitu ulivyonunua na huduma unazolipia (yaani brands) jiulize vinamilikiwa na nani? Na kabla hujaspend hela jiulize unacholipia ni nani haswa anayefaidika.

Brands hazijustify sisi tuingoze siasa za TANU katika uendeshaji wa mashirkia ya umma kiasi cha kuyaua
 
Kama unafahamu vizuri hiyo vita ya ideology kati ya Ujamaa na Ubepari, bila shaka utaamini kuwa hii ni kweliNyerere angefanikiwa nchi nyingi za kibebari hasa zilizokuwa zinafwata ubeparu mchwara kama Kenya zingebadilika, kwa hiyo naona hii ina ukweli ndani yake. Tanzania ilikuwa nchi ndogo kwa eneo lakini haikuwa nchi ndogo kifikra, tulifikia hata kuwa "imperialists" wa ideology
. This is very possible.

Nyerere asingeweza kufanikiwa coz he was a confused man
 
Hiyo clout ya Israel iko overrated!! Israel bila Marekani haipo....

na marekani bila israel haipo...usiniulize kwa nini nasema hivyo bali jiulize kwa nini marekani inawajibu wa kuipa fedha israel...kwa msaada zaidi fuatilia hotuba za john kerry za hivi karibuni abt israel-palestina peace talk.
 
Nyerere asingeweza kufanikiwa coz he was a confused man

naona unataka kufanana na mwenzako Lisu....Nyerere hakuwa mtu wa hivyo....wasaidizi wake (under-covered CIA) walitumia nafasi zao kumzunguuka na kuhakikisha wanalinda maslahi yao na ya mabwana zao ndicho kilichomwangusha.
 
na marekani bila israel haipo...usiniulize kwa nini nasema hivyo bali jiulize kwa nini marekani inawajibu wa kuipa fedha israel...kwa msaada zaidi fuatilia hotuba za john kerry za hivi karibuni abt israel-palestina peace talk.

Marekani ilikuwepo kabla ya Israel....
 
kulikuwa na azimiola arusha na azimiola irak ukweli cia na uk walifanya kila mbinu azimiola arusha lisifanikiwe kwa kutumia mashirika yao kama world bank na imf walihakikisha azimio la arusha halifanikiwi na sio Nyerere tu alifanyiwa hivyo kuna Patrice Lumumba,kkkkkkwame Nkuruma walitokomezwa na watu hao hao
 
Hakuna lolote hapo....yaani Wanyamwezi wahangaike na kukosa usingizi kisa kanchi kadogo na maskini ka kutupwa kaitwako Tanganyika/ Tanzania....I'm not buying it.....

Back to 2004, from a mouth of an American ''Nyerere tried to do something amazing but failed for good"
 
msiitupie hoja hiyo pembeni; mngejua tu; nenda kwenye National Archives mtashangaa walichokuwa wanazungumza wamarekani na Britain kuhusu Tanzania. Docs zao nyingi zilikuwa zina ban ya miaka 30; na nyingine miaka 40... za interests hasa ni za wakati wa mapinduzi na muungano na zile za wakati wa Azimio la arusha...


When minorities refuse to play your game, its time to pay attention. Nyerere kujaribu kufanya kitu unfamiliar to the superpowers (West) ilikuwa inafanya ulazima wa Marekani kufikiri what it means na nini ingeweza kuwa athari kwa maslahi yake Afrika!
 
nyani ngabu,read between the lines,mpaka barack obama anaenda kuomba kura za americans,of all places in israel,na ana backtrack on some issues in favour of israel should give you an idea of the cloat israel is carrying on world affairs and happenings.AGAIN CIA were intrested in tanzania cause this was the height of the COLD WAR-either you were east or west.tanzania falling in the hands of the east was creating great discomfort in western capitals

Watu wengi wanajengwa na mainstream media kudharau conspiracy theories halafu habari yoyote harmful kwa wakubwa ikishindwa kudhibitiwa ikavuja na kusambaa hizo media hutumika kui-classify kama conspiracy theory ili idharaulike,so usishangae kuona kuna circulation ya habari nyingi za kweli lakini hazina mashiko kwa jamii kwa sababu imeshakuwa conditioned kudharau ukweli na mambo ya maana zaidi,na kuamini uongo na mambo yasiyo na maana sana kwao.We anzisha mada humu kuwakumbusha wabongo matatizo yao ya umeme,maji,umaskini n.k uone response yao halafu anzisha mada zao zile za "nashindwa kumwambia nampenda" uone response yake.ndio hapa wise men stay quiet and wait for the day.dunia hii haina cha kujifunza toka kwa wenye hekima.imeamua kujifunza yenyewe kwa maumivu.nigusie kidogo tu hii mada kuheshimu mchango wako kwa kuianzisha,haswa nikiwatahadharisha wale wanaoamini israel ni kataifa kadogo kanakopumua kwa sababu ya wamarekani.what they dont know ni kwamba israel haina mipaka(system anayotaka kuiga Kagame hapa maziwa makuu).kale kataifa kadogo kwa eneo pale middle east ni danganya toto tu ku-contain ufahamu wa watu.israel is everywhere.marekani haiisaidii israel kwa sababu wamarekani wanaipenda saana israel,bali kwa sababu waisrael wapo ndani ya marekani wakiwa ni decision makers.na huwezi kuwanyima haki yao ya umarekani.kuna wakati mmoja wa viongozi wetu hapa nchini alikataa investment kubwa huko kusini baada ya kugundua almost investors wote katika ile network ni wamarekani waisraeli na very prominent figures.decision makers wetu walitahadharisha hatari ya kuleta watu wa aina ile ambao historia yao duniani imejaa migogoro mitupu na mtu mmoja tu katika wale jamaa ana account yenye bajeti yetu kwa miaka mingi tu.zamani decision makers wetu walikuwa makini sasa hivi hali ni tofauti.tumeshaleta watu controversial kuliko hata wale wa zamani.thanks to "watz wapole" wasiohoji maslahi ya wakubwa ndio maana bado tuko safe.ngoja nikupe mfano.huko kusini kuna kampuni imepewa vitalu vya oil exploration.ile kampuni ukiifuatilia utagundua ni mojawapo ya mtandao wa makampuni unaomilikiwa na Rockefeller family.hili jina lao limebadilishwa kutoka jina la asili la Roggenfelder,a german jewish family.hawa wanaitwa crypto jews.wako wengi tu america,John Kerry,Madeleine Albright,Jenerali Wesley Clarke,John Jacob Astor,etc.duniani wapo watu kama akina Lenin,Nicolas Sarkozy,Roman Abramovich,Mikhail Khodorkovsky ,Rothschild etc ambao ni wafaransa ,warusi, waingereza etc.Nyerere hakuwa mjinga kuwatimua.Na kwa wale ndugu zangu wakristo ambao hupenda kutetea tuu jews kwa kila jambo,nawakumbusha tuu kuwa watofautishe ancient jews and today's israelites.not everything which goes by that name is "holy".nimesema makusudi manake najua watu wataanza kutoka povu hapa,"blind faith"!tena ngoja tuu nijitambulishe kuwa mie ni "wa biblia" kabla hamjaanza kuspeculate my motives.
 
Hakuna lolote hapo....yaani Wanyamwezi wahangaike na kukosa usingizi kisa kanchi kadogo na maskini ka kutupwa kaitwako Tanganyika/ Tanzania....I'm not buying it.....

Mkuu hoja si kwamba walikuwa na shida na ka-Tanganyika ketu masikini bali ni ukweli kwamba kipindi hicho moja ya sera zao (western) ilikuwa ni kupambana na kuenea kwa Usoshalist/Ujamaa, na hasa kwa nchi ambazo zilikuwa zinapata uhuru wake. Kumbuka nchi hizi (hasa za Afrika) zilitumiwa kama shamba la raw materials so kama zitaingia mikononi mwa Wasoshalist kama Russia na China kipindi hicho basi Western wasingekuwa na nafasi hiyo. Pia suala la kiusalama kwa maana ya kulinda maslahi yao kwa nchi rafiki. Kama umepata kupitia makala mbalimbali (Mfano za Mihangwa) utabaini kwamba hata huu muungano wetu Mwl Nyerere pamoja na nia aliyokuwa nayo, pia alipata shinikizo sana toka Marekani na Uingereza (wakihofia Zanzibar kuwa Pro-Socialist) kuharakisha muungano huo.
 
Na kuhusu Political Stability waliandika hivi, wakiwa wanafuatilia vinavyoendelea Tanzania:


44. In Tanzania, Julius Nyerere's main source of power lies in the support of the people for his position as the national leader and "teacher." Nevertheless, despite the high esteem in which he is held by his countrymen, the people of Tanzania have never been very enthusiastic about his programs. This does not mean that we expect a popular uprising. Tanzanians are more likely simply to ignore exhortations or to grumble as they are adversely affected by his schemes. But, if the army threatened to unseat Nyerere, there would be little movement to support him. The army might seek to oust Nyerere if it felt threatened by the rival People's Militia, Chinese influence, or witch hunts. Other moderate elements in the civil service, political elite, and business community would probably welcome a change. Nyerere's position will become less secure if the economy continues to suffer from his rash moves or if he embarks on repressive measures to enforce his nation-building efforts.

Mkuu Mwanakijiji,

Hii ndio ilikuwa sababu kubwa ya kuamua kuondoka kwenye nafasi ya uraisi ule mwaka 1985.

JK Nyerere alikuwa anaona mbali aliamua kuondoka lakini kwa "well calculated move" alitumia neno la kung'atuka.
 
na marekani bila israel haipo...usiniulize kwa nini nasema hivyo bali jiulize kwa nini marekani inawajibu wa kuipa fedha israel...kwa msaada zaidi fuatilia hotuba za john kerry za hivi karibuni abt israel-palestina peace talk.

Israel is a US creation. US is more than 200 years old way older than Israel, as a state and country was there long before Israel was born. Israel was Born in New York. It was a deal between Europeans and Americans to have it started. Europeans wanted jews out of Europe and settle somewhere in Uganda or anywhere where they could be welcomed, Americans needed a nation they can trust in middle east so they chose middle east.

Fundamental Christians believe otherwise, they believe that they are a God creation, Chosen ones, and some of them as black they look, they even call themselves children of Israels. Hii ndio Tanzania.
 
Asante sana JMUSHI1.


THE BALFOUR DECLARATION

The Balfour Declaration may be the most extraordinary document produced by any Government in world history. It took the form of a letter from the Government of His Britannic Majesty King George the Fifth, the Government of the largest empire the world has even known, on which -- once upon a time -- the sun never set; a letter to an international financier of the banking house of Rothschild who had been made a peer of the realm.

Arthur Koestler wrote that in the letter "one nation solemnly promised to a second nation the country of a third." More than that, the country was still part of the Empire of a fourth, namely Turkey.

It read:




Foreign Office, November 2nd,1917

Dear Lord Rothschild,

I have much pleasure in conveying to you on behalf of His Majesty's Government the following declaration of sympathy with Jewish Zionist aspirations, which has been submitted to and approved by the Cabinet:

"His Majesty's Government view with favour the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object, it being clearly understood that nothing shall be done which may prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country."

I should be grateful if you would bring this Declaration to the knowledge of the Zionist Federation.

Yours sincerely,

Arthur James Balfour.[1]
 
Kama Hujui, Hata hiyo CIA unayoita wewe Ilianziswa na muisrael ,Well Ninajua Utakataa lakini Huo ndio Ukweli. Ukiangalia Historia ya Federal Reserve ya USA which is equivalent to BOT kwa Tanzania, Tangia mwaka 1972 magavana ni Waisrael the same as CIA,Wordbank and IFM go in details to those organisation to their chief personal Details you will understand waht I am saying. On top of that ninaushauri u copy and paste this link on ur browser so u can have a full reserched paper with eveidences from havard university

link hiyo http://ksgnotes1.harvard.edu/Research/wpaper.nsf/rwp/RWP06-011/$File/rwp_06_011_walt.pdf

Natatizo kubwa watu hawana Uhuru wa kuwaongelea waisrel na matatizo wanayayoleta duniani kwasababu inaonekana kama ni zambi, I dont why?

Haha kwasababu wanaitwa taifa la Mungu.Mtu hawezi kujiuliza hata ile imani aliyonayo sababu aliikuta kwa wazazi wake. Ndio uwaafrica kaka. Hatujiulizagi!!


The king.
 
Lately docs nyingi za 50s.60s zinakuwa released kwenye site ya CIA...I enjoyed reading ya Cubam Missile Crisis..bado sijapata ya Tanzania lakini I will keep an eye on that better yet nitamuuliza boy scout mmoja anipenyezee kama ipo.

Kiongozi unaweza kutuwekea URL ya CIA huko unapozisoma?
 
Israel is a US creation. US is more than 200 years old way older than Israel, as a state and country was there long before Israel was born. Israel was Born in New York. It was a deal between Europeans and Americans to have it started. Europeans wanted jews out of Europe and settle somewhere in Uganda or anywhere where they could be welcomed, Americans needed a nation they can trust in middle east so they chose middle east.

Fundamental Christians believe otherwise, they believe that they are a God creation, Chosen ones, and some of them as black they look, they even call themselves children of Israels. Hii ndio Tanzania.

Soma BIBLIA upate maarifa!
 
Back
Top Bottom