CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

Jews running the world, America being so scared by Nyerere, and all that jazz....

I don't think American's were scared of Nyerere lakini kwa ushahidi wao wenyewe walikuwa very interested na kile alichokuwa anakifanya. Ukisoma mahali fulani hapo juu in the 1970s walikuwa wana suggest kitu kama mapinduzi ya kijeshi kutokea nchini. Hilo la Wayahudi kurun world affairs sina uhakika nalo. Kwa sababu ni sawa na kusema kuwa watu weupe ndio wanaendesha mambo ulimwenguni.
 
Perhaps because it was something different.....

Halafu nani kasema watu weupe wanaendesha mambo ulimwenguni...?
 
Some references za Tanzania kwenye National Archive:

na hapa:

wanakiita Checklist of African Problems:

The Americans took a lead from Nyerere:

National Security Estimates Oct 21, 1976

Miaka mitano kabla yake, Wamerekani katika hicho hicho wanachokiita National Security Estimates waliandika hivi:

Na kuhusu Political Stability waliandika hivi, wakiwa wanafuatilia vinavyoendelea Tanzania:

hivyo ni vichache tu...

MKJJ hayo uliyoandika hapo juu ni inteligensia declassified....Zetu bado hatujafanya hivyo na kwa hiyo kama kuna wanaojuwa siri za nchi ndio wanaoelewa kinachoendelea...Lakini watu kama sisi tuna common sense na kwahiyo tuna uwezo wa ku connect the dots.

Honestly maelezo yako yote kama ukipitia michango yangu kuanzia ule mjadala wa Zimbabwe...Utaelewa pamoja na maswali niliyouliza kwenye posting yangu ya kwanza kwenye mjadala huu....Na ndio maana simlaumu Nyani kwasababu anataka maelezo...Na kwasababu umetowa upande mmoja wa CIA...Then towa na upande wa UWT.

Leo Kweli,Mag3 na Isaya Mwita....Issue ya Isarael imekaa hivi:

1)Kuna mitizamo ya tofaut pale inapokuja kwenye historia ya Taifa la Israel...Nayo ni kama ifuatayo kwenye vipengele a,b na c..

a)Mtizamo wa Wakristo:Mtizamo wa wakristo ni kuwa Israel belongs to the middle east na jerusalem ni mji mtakatifu. Jambo hilo pia linaaminiwa na Jews wenyewe....Hapa pamekuwa na gogoro kubwa kwani historia ya darasani haisemi kuwa wayahudi hapo Palestina ni kwao.

b)Muslim people; wao nao wanaamini pia kuwa jerusalem ni mji mtakatifu kwani hapo ndipo mahali ambapo kuna historia muhimu kwao wao na mtume wao....Na msikiti wao maarufu na mtakatifu uko hapo...

Na pia kuna mchanganyiko...

Jerusalem imegawanyika mara nnne....Wajews, wakristo, waislam na warumi...Wote hao waliitawala Jerusalem kwa vipindi tofauti kwenye historia yetu....Na kwa hiyo Obama yeye anataka waishi pamoja kama vile tunavyotaka tuishi kwa usawa na umoja baina ya weupe, weusi,waoriental, waarabu na jews...Kamwe mwafrika asichaguwe BWANA!

c)Modern History:Kwa historia ya dunia ya kwetu ya sasa...Israel imefikisha miaka 60 juzi tu toka izaliwe....Na kiukweli...Mtu aliyesaidia uanzishwaji wa Taifa hilo ni muingereza...Kwani ilikuwa ni territories zake..Na hilo alilifanya mara baada ya kusaidiwa na mmarekani kwenye vita ya pili ya dunia...Ni Churchill kama asingepewa msaada na mmarekani basi HITLER alikuwa amchukue mwingereza kiulaini kabisa.

Ni wazi kulikuwepo na makubaliano kati ya Churchill na Roosevelt...Na labda Hoover kabla ya hapo wakati wa The Great Depression.

Ila sasa matatizo ya Hitler...Kama wanavyodai waarabu na waislam wengine...Wapalestina hawakuwafanya chochote wa jews huko Ujerumani kiasi cha kupelekewa ngarambe hiyo...Kwani mara baada ya holocaust...Wale Jews walipakizwa kwenye meli kubwa za wanigereza na wamarekani wakamwagwa Huko middle east maeneo ya Palestine territories ambayo yalikuwa chini ya mwingereza.

Na wapalestina wakapambana na Yasser Arafat na yeye pia...Baadae kafa kifo cha utatanishi sana....Na aliyekuwa akimminya naye akafa...Sijui nasikia bado yuko hai...Ni huyo Sharon ambaye kwa kweli na yeye historia yake si nzuri hata kidogo pale inapokuja kwenye ubinadamu.

Hivyo Uingereza wana part kubwa ya kuplay kwenye mgogoro huu kwa kufanikisha hao watu waweze kuishi pamoja na si kuchaguwa upande hata mara moja...Hilo litakuwa hatari..Kwasababu mtu kama mchina yeye hana dini wala nini...Kwa hiyo mwarabu akimuonyesha historia ya dunia halafu na yeye akamwambia kuwa na sisi tunataka mtetezi kama vile mmarekani anavyomtetea muisrael...Halafu kwasababu mchina si mkristo wala musilam...Anaweza kumsadia mwarabu nyuklia na hapo ndipo penye tabu...Maana walisema jeshi la waisraeli ndio kiboko zaidi duniani...Sasa sijui la mchina nalo vipi....Tuombe Mungu aepushie mbali..Ni balaa!

Kwa sasa ngoja nifikie hapa kwa ujumbe huu kwako Leo Kweli...Si kweli kuwa Jews wote ni wabaya...Na ndio maana Yitzak Rabin Aliuwawa na wale ma extrimist...Nilishawahi kusema too much of anything is harmful hata kama ni medicine...You overdose it kills you.

Hata waislam si wote wabaya...Tukiwa na sterio type hatutaweza kuepuka mapigano kwani hatutaweza kukaa mezani na kuongea kama kutakuwa na chuki mbaya baina ya wanadamu.

Na ndio maana namsapoti Obama badala ya Clinton kama unavyofanya wewe...Na hao kina Young ambao ni movement corrupt na siyo ile halisi ya MLK NA JFK.

Kwa upande wa Tanzania chini ya mwalimu tumeweza kuona kuwa uchumi na kila kitu tuliwategemea uchina..Na bado tunafanya hivyo..Kwani ni wazi mchina anaogopeka toka kitambo na ndio maana alimsaidia Mwalimu na Uingereza wakagwaya kumsaidia Amin licha ya kwamba hawakumpenda Obote na huku walijuwa ni Obote nayerudishwa na mchina kwa kupitia Mwalimu.

Lakini sasa ndio maana nakwambia kuwa...This time ni mwafrika kwanza..Na tusianze chuki dhidi ya west kwani kama kweli west na wao wakibadilika na kutusikiliza...Basi hata uchina nao wataacha kutupa yale masharti ya kulazimishia kuturundikia raia wake nchini mwetu simply kwasababu eti wanatusaidia kiuchumi na kivita!

Cha muhimu NI UHURU KWANZA.

Kwasasa naishia hapa..Ila mjadala uendelee na pia mnapoleta hizo declassified..Mfanye pia jitihada za kumwelisha Nyani badala ya kum dhihaki.
Ahsanteni.

NB:Tuhakikishe tunajibana maswali yetu kwani ni muhimu...Na kama hatujaelewana na kuna maswali..Basi tujibiane kistaarabu na kwa kuelemishana...Lakini haina maana ku ignore maswali ya watu halafu kinachoandikwa ni kama kilitakiwa kielezewe ili Nyani wa watu asighafirishwe na kufungiwa tena na wanamtandao.
 
Wadau wa JF,

Kuna hii stori nilipata kuisikia kitambo ila sikuweza kufuatilia ukweli wake. Kwa mnaojua undani wake (kama ni kweli au la) naomba michango yenu.

Stori yenyewe ni kwamba baada ya Nyerere kutangaza sera ya Ujamaa huku dunia ikiwa imegawanyika kati ya ubepari na ukomunisti, upande wa ubepari (hususani kinara wao Marekani na mchumba wao Uingereza) walikuwa na shauku ya kujua "Ujamaa" ni kitu gani.

Inasemekana jibu walilopata toka kwa Nyerere ni kwamba Ujamaa sio tafsiri ya moja kwa moja ya ukomunisti kama ambavyo walikuwa wanadhania. Bali ni sera inayolenga kuunganisha jamii kwa kuzingatia utamaduni wa asili wa kushirikiana uliokuwepo miongoni mwa Waafrika. Kwamba lengo sio kuiga sera za nje za kiuchumi bali kujenga nguvu za kiuchumi kwa kuzingatia utamaduni na mazoea tuliyokuwa nayo waafrika hata kabla ya ukoloni.

Inasemekana Wamarekani na Waingereza baina yao walikiri kwamba Nyerere alikuwa amepatia kwa kuzingatia utamaduni na asili za watu katika kutengeneza sera ya kiuchumi. Kwa upande mwingine inasemekana waliona kuwa mafanikio ya sera yake mpya (ambayo walihisi ingefanikiwa) yangesababisha nchi zingine za Afrika kuiga mfumo wa Tanzania na hivyo kutengeneza muungano wa kiafrika ambao wao hawakupenda utokee.

Hivyo inasemekana CIA walitoa classified memo kwenda M16 ikiwa na agizo moja kuu kwamba M16 wahakikishe Nyerere hafanikiwi.

Mdau aliyenipa hii stori anadai memo hiyo iligundulika hivi karibuni baada ya kuexpire muda wake toka kwenye classified materials.

Binafsi ningependa kupata resources za kuthibitisha kama hii stori ni kweli au sio kweli. Wenye data naomba tuhabarishane.

//DM

Haya mkuu nondo nzima hii hapa kutoka kwa mabwan wa kubwa CIA.Imegusia pia issues za muungano. Hii nondo kwa sasa ni "declassfied"

Cheki hii attachement .

Wembe
 
Attachments

  • Nyerere.pdf
    916.8 KB · Views: 300
Haya mkuu nondo nzima hii hapa kutoka kwa mabwan wa kubwa CIA.Imegusia pia issues za muungano. Hii nondo kwa sasa ni "declassfied"

Cheki hii attachement .

Wembe

Huo mgogoro wa wakati huo kama inavyoonyesha ripoti hiyo ya CIA ya mwaka 1965..Bado mambo ni yale yale..Tofauti ni kwamba Kaburu alikuwa na nguvu sana wakati huo na USA walitoka kushinda vita ya pili ya dunia mara baada ya Atomic Bombs za Hiroshima na Nagasaki.
Kusema ukweli tendo lile liliwaogopesha wengi na ndio maana hata Kenyatta na Mwalimu hazikuiva kwani kenyatta alikuwa na msimamo wa tofauti.
Kama nilivyosema toka awali kuwa...Waarabu wameamuwa kushirikiana na Mkomunisti na sasa mambo ni mabaya zaidi kuliko awali wakati wa mwalimu.
Sasa hivi sio vita baridi tena..Inaonekana ni VITA YENYEWE...Baridi ilikuwa miaka hiyo ya nyuma.
 
Wadau wa JF,

Kuna hii stori nilipata kuisikia kitambo ila sikuweza kufuatilia ukweli wake. Kwa mnaojua undani wake (kama ni kweli au la) naomba michango yenu.

Stori yenyewe ni kwamba baada ya Nyerere kutangaza sera ya Ujamaa huku dunia ikiwa imegawanyika kati ya ubepari na ukomunisti, upande wa ubepari (hususani kinara wao Marekani na mchumba wao Uingereza) walikuwa na shauku ya kujua "Ujamaa" ni kitu gani.

Inasemekana jibu walilopata toka kwa Nyerere ni kwamba Ujamaa sio tafsiri ya moja kwa moja ya ukomunisti kama ambavyo walikuwa wanadhania. Bali ni sera inayolenga kuunganisha jamii kwa kuzingatia utamaduni wa asili wa kushirikiana uliokuwepo miongoni mwa Waafrika. Kwamba lengo sio kuiga sera za nje za kiuchumi bali kujenga nguvu za kiuchumi kwa kuzingatia utamaduni na mazoea tuliyokuwa nayo waafrika hata kabla ya ukoloni.

Inasemekana Wamarekani na Waingereza baina yao walikiri kwamba Nyerere alikuwa amepatia kwa kuzingatia utamaduni na asili za watu katika kutengeneza sera ya kiuchumi. Kwa upande mwingine inasemekana waliona kuwa mafanikio ya sera yake mpya (ambayo walihisi ingefanikiwa) yangesababisha nchi zingine za Afrika kuiga mfumo wa Tanzania na hivyo kutengeneza muungano wa kiafrika ambao wao hawakupenda utokee.

Hivyo inasemekana CIA walitoa classified memo kwenda M16 ikiwa na agizo moja kuu kwamba M16 wahakikishe Nyerere hafanikiwi.

Mdau aliyenipa hii stori anadai memo hiyo iligundulika hivi karibuni baada ya kuexpire muda wake toka kwenye classified materials.

Binafsi ningependa kupata resources za kuthibitisha kama hii stori ni kweli au sio kweli. Wenye data naomba tuhabarishane.

//DM

Kama unafahamu vizuri hiyo vita ya ideology kati ya Ujamaa na Ubepari, bila shaka utaamini kuwa hii ni kweliNyerere angefanikiwa nchi nyingi za kibebari hasa zilizokuwa zinafwata ubeparu mchwara kama Kenya zingebadilika, kwa hiyo naona hii ina ukweli ndani yake. Tanzania ilikuwa nchi ndogo kwa eneo lakini haikuwa nchi ndogo kifikra, tulifikia hata kuwa "imperialists" wa ideology
. This is very possible.
 
Walimshtukia Mwalimu...Kwani nadhani ukisoma kwa makini..Utagunduwa kuwa ukomunisti ulishamiri Zanzibar na mwalimu alikuwa hataki muungano uvunjike kwa kigezo cha ukomunisti na uarabu/uislam na huku yeye alikuwa akiwakumbatia wakomunisti...Ile kuwachanganya na west ilikuwa ni kielimu tu kama ilivyo wazi...Na wale ambao mlikuwa hamjui hilo basi ni kama mlishindwa kuelewa reality...Hata mimi mwenyewe kama mtanzania huwa nahusishwa sana na siasa za mwalimu...Kwa maana nyingine sisi watanzania pia tunaonekana kama ni watu LIBERALS...Na ndio maana ma liberal kama kina JFK,Reagan nk walipata shida na bado wanapata shida maliberals kama John Kerry,Obama na wengineo wenye kupenda mazungumzo zaidi ya ubabe.
Kwa maana hiyo basi...Kama kuna wale wanaofuatilia essays zangu huko college basi watajuwa kuwa na mimi msimamo wangu ni kupinga UBAGUZI na mambo mengine yaliyoziharibu jamii zetu.
 
interest Gani Hizo Za Waisrael? Watu Wenyewe Kwanza Hata Hawajaendelea Hivyo Sasa Hizo Interest Zao Zinazosababisha Hayo Matatizo Ya Dunia Ni Zipi? Wamarekani Kila Mwaka Wanawapa Mabilioni Ya Dola. I Smell A Kind Of Anti-semitism Here......blame The Jews For Everything...
No Nyani Jamaa Anaponit Hapo If You Want To Stink Just Punch A Jew Below The Belt, Nyerere Alichemka Hata Ukristo Wake Alikuwa Hasomi Maandiko You Cant Imagine Gay Like Kaunda Didnt Dare To Touch Jew
You Cusre A Jew Your Cursed Bro.
 
Kwa hiyo zile foleni za maduka ya kaya na unga wa yanga ni CIA walitufanyia vile? nyie acheni kuota ota na matatizo yote ya TZ kusingizia wengine wakati ni Nyerere ndio alituletea yote yale na siasa zake na hata hii legacy ya watu kutupiana mipira na kukataa kuchukua responsibilities mambo yakienda kombo zote ni legacy za nyerere na siasa zake ndio maana mafisadi wanatumaliza sasa mana wanajua wapo pale no matter what!
 
Basi inavyoonekana huyu Nyerere alikuwa mtu mbaya sana ndugu yangu Koba.
 
Basi inavyoonekana huyu Nyerere alikuwa mtu mbaya sana ndugu yangu Koba.

...never thought of that and still believe personally he was a good man,lakini politics zake zilikuwa mbaya kuliko na ndio zimetuletea umaskini wa kutupa...still haiingii akilini serikali kuwa na maduka ya sukari na kuwaweka jela wanaojaribu kuuza sukari kwa jina la uhujumu uchumi,haiingii akilini kumweka ndani mtu bila charges indefinetelly kwa jina la usalama wa taifa!
 
Nyerere was a great person; but never a threat to anybody, let alone superpowers.

Yep yep...na ukiongezea uzalendo aliokuwa nao kwa taifa na Afrika kwa ujumla basi tena hatuna wa kulimnganisha in Afrika!! Ingawa hakufanikiwa sana kiuchumi but that doesnt make him bad person because many Afrika nations are still living in poverty even though they didn follow ujamaa na kujitegemea ideology!
Inaelekea watu hawajatambua vizuri role ya CIA katika ulimwengu huu.Ni vizuri tukawaelewa ni watu wanamna gani na malengo yao ni yapi na wanaplay role ipi katika maamuzi ya serikali yao.

Labda haka ka youtube clip kanatoa tu mwanga kidogo ;

[media]http://www.youtube.com/watch?v=coPRpGQyS_c&feature=related[/media]
 
...never thought of that and still believe personally he was a good man,lakini politics zake zilikuwa mbaya kuliko na ndio zimetuletea umaskini wa kutupa...still haiingii akilini serikali kuwa na maduka ya sukari na kuwaweka jela wanaojaribu kuuza sukari kwa jina la uhujumu uchumi,haiingii akilini kumweka ndani mtu bila charges indefinetelly kwa jina la usalama wa taifa!

Mkuu, hivi nchi kama Kenya Zaire, Malawi etc.ambayo haikufuata siasa kama tuliyofuata wana maendeleo yoyote ambayo ni significantly different na ya kwetu? To me, I have always believed that we were destined to economic failure during the cold war era whatever avenue we would have taken.
 
Kwa hiyo zile foleni za maduka ya kaya na unga wa yanga ni CIA walitufanyia vile? nyie acheni kuota ota na matatizo yote ya TZ kusingizia wengine wakati ni Nyerere ndio alituletea yote yale na siasa zake na hata hii legacy ya watu kutupiana mipira na kukataa kuchukua responsibilities mambo yakienda kombo zote ni legacy za nyerere na siasa zake ndio maana mafisadi wanatumaliza sasa mana wanajua wapo pale no matter what!
Koba zile foleni zilikuja baada ya vita vya Uganda. Kabla ya hapo mambo yalikuwa safi sana. Bidhaa zilikuwa zinapatikana muda wote.
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio nakuwa mzito wa kuelewa, Waisrael wanaicontrol dunia kwa kutumia siasa za marekani na Uingereza, Tatu kwa kutumia Freemasons , Unahitaji kufanya research yako Mwenyewe.

Harafu Ukisema Israel ni nchi masikini sikuelewi, Waisrael wanoishi israel ni wachache kuliko wanaokaa nje ya Israel. Marekani ina waisrael about 50 Million (Ohio,Frolida,New York and Califonia) Hapo ndipo wengi wanaishi.Hao ni wamerakani tu bado wanaoishi mataifa mengine Duniani,

Ninakushauri Ufanye ur research then you will understand what I am saying.

Nikimuunga mkono jamaa Obama hawezi kufika popote akiwadis waisrael, Cmaping manger wa Obama and Chief Strategist ni waisrael David Plouffe,

and David Axelrod

have a look there http://en.wikipedia.org/wiki/David_Axelrod_(political_consultant)

Kwa kuongezea ni hivi; mmiliki wa yahoo wa facebook ni muizraeli, mmiliki wa Google ni muziraeli, nk
 
Nyani Ngabu naona umeamua tu kubisha. Ila fuatilia utajiri wa dunia hii ni nani wameushikilia. Angalia vitu ulivyonunua na huduma unazolipia (yaani brands) jiulize vinamilikiwa na nani? Na kabla hujaspend hela jiulize unacholipia ni nani haswa anayefaidika.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna lolote hapo....yaani Wanyamwezi wahangaike na kukosa usingizi kisa kanchi kadogo na maskini ka kutupwa kaitwako Tanganyika/ Tanzania....I'm not buying it.....

Leo umenilet Down, hivi hujui impact za Tanzania Afrika kaka mpaka useme Nyerere hakuwa Threat kwa sera za magharibi. Asingekufa Barick na BG na nk wangekuwepo?
 
Mwanakijiji tunakuheshimu sana. Yaani CIA NA M16 ndio walimwambia nyerere aache kuongoza uchumi kisomi na badala yake kuwapa nguvu makada wa TANU kupitia miongozo mbali mbali ya kisiasa iliyotumika kuwafungia mameneja wa mashirika ya umma milango mambo ambayo yalikuwa yakisimamiwa na matawi ya ya TANU iliyokuwa lazima kuwepo
kwake ktk kila shirika la umma. Akina Kawawa,Songambele na lumpens kibao wakapatiwa executive powers kiasi cha kuua mashirika hayo
 
Nawashangaa watu wanaodai kuwa Americans etc walikuwa intrested na sera mbovu za Nyerere, wote wanaodai hivyo ni watu wa juzijuzi tu hawazijui sera za Nyerere. Nyerere alikuwa against "enterprenuership" na alikuwa akiwachochea watanzania kuwachukuia watu enterprising. Ni kwa sababu hamkuwepo nyakati hizo ndio maana mnaweza kudai kuwa there was anybody outside who was intrested na sera zake zinazoashiria kuwa alikuwa confused.

Which country could be intrested with policies that constrain people from acquiring basic facilities for survival such as refrigerator, a car, a house, TV set, Video set, electric cooker etc? This was total confusion.

Mwaka 1976, nilimsikia Nyerere kwa maisikio yangu akiwachochea watanzania dhidi ya wafanyabiashara kupitia hotuba ambapo alidai kuwa kama mtu ni mfugaji na amemwajiri mtu/watu. Akiuza kuu wake au mayai anatakiwa kuondoa gharama zake na kisha agawane 50/50% na mtumishi/watumishi wake. In such a situation where is the reward for investing?. Which country on earth could intrested with such confusion?

Mathalani in 1970s TANU ilitoa miongozo na kauli mbiu mbali mbali zilizochapishwa na kusambazwa kwa wanachama wake wote. Miongoni mwa sera na kauli mbiu hizo ni "BINADAMU WOTE NI USIWE NYAPARA NA MKARIPIAJI" na nyingine nyingi kama hizo. In reality "NYAPARA" is a supervisor, tell me which successfu leconomic enterprise can be successful without effective supervision of staff? No wonder mashirika yake yote ya umma yalikufa.

Pia alilazimisha kila shirika la umma kuwa na tawi la TANU ambapo Mwenyekiti wa Tawi hilo alikuwa ni mjumbe wa bodi ya wakurugenzi. Mostly viongozi wa matawi haya walikuwa "lumpens", hivyo waliishia kufungia management milango kutokana na management kutaka kuendesha mashirika kitaalamu kitu ambacho viongozi wa matawi ya TANU na Wakuu wa Wilaya walikuwa against. Nyakati hizo Wakuu wa Wilaya walikuwa wakipatiwa powers za kiutekelezaji na Nyerere ili waweze kuingilia management za mashirika haya; sio kama sasa ambapo hawana powers zozote za kiutekelezaji. Which country on this earth could have been intrested with such confusion?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom