Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Mkuu Embryology huyu hana passion ni hali ngumu tu kwenye fani yake soma vizuri mstari wa mwisho wa commeny number 74! huyu kama ameshindwa kutengeneza lemonade kutokana na lemon aliyotapa basi hato weka kutengeneza squish kutokana na chungwa analolitafuta!
mi machungwa na lemon sina...ila tunda passion ya afya ipo kubwa kuliko engineering
 
Nina 24. Dah! kwahyo unasema ngoma kote ngumu??
Ngoja nikupe my thought process.....
Mimi nlikuwa kwenye njiapanda, kati ya kuchukua degree nyingine (sio afya maana advance nlisoma pcm) au kwenda masters. Au kuacha kazi na kujikita kwenye kujiajiri (maana hii laki 5 ya kuajiriwa naisotea, yani sipati muda extra wa biashara).
Au kwenda China kusoma MBBS au vyuo vya scandinavia/UK/Marekani (Tatizo ada)
Au kusoma afya kuanzia diploma.
Ndo nkachagua hiyo last option maana yenyewe ndiyo atleast ina uhakika na future.
Kama unataka hela huku unapoteza muda wako.
 

Attachments

  • 2022-07-22 (2).png
    2022-07-22 (2).png
    65.7 KB · Views: 31
Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Nimeangalia na Muhimbili hapa hamna clinical medicine..Kuna pharmacy na nursing tu
 

Attachments

  • 2022-07-22 (4).png
    2022-07-22 (4).png
    72.7 KB · Views: 33
Kwema wakuu,

Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.

Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?

Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
Kwani mhandisi umekosa kabisa kazi au? Kwa sababu una background ya eng nakushauri ukasome Biomedical Engineering Diploma chuo cha DIT au Arusha Tech utapata kazi
 
Kwema wakuu,

Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.

Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar) kina hizi kozi (Clinical Medicine/Phamarcy) na maisha ya chuo sio kama ya sekondari?

Yani hakuna mambo ya fimbo, adhabu, kuhesabu namba na kula kwa namba?
Wewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
 
Back
Top Bottom