Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

Aende UDOM au Muhimbili ila awe na vigezo sio vya kubahatisha.

Kuhusu vyuo vingine hakuna fimbo wala nini shida ukisoma vyuo hivyo ni kama upo advance isiyokua na viboko ila mengine yote sawa mnabanwa vibaya.
Yah mkuu dirisha lipo wazi kwa sasa cha muhimu afanye application mapema maana competition ni kubwa.
 
Back
Top Bottom