Chuo gani cha diploma cha serikali hakina mambo ya 'kisekondari'?

hiki benjamin mkapa institute of health and allied sciences nani anakifaham wazee?
 
Siyo kuvurugwa!MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO.Nilisoma Engineering nikamaliza lakini ghafla tu nikatamani kwenda medicine(Degree) nafurahia Sana kazi yangu
Hiv jmny kwan inaruhusika km mm nimechukua degree ya data scienc asa natak degree ya md ivi wanakubali
 
Hiv jmny kwan inaruhusika km mm nimechukua degree ya data scienc asa natak degree ya md ivi wanakubali
Vigezo vyako tu. Hao wanaosema hivyo ujue form six walikuwa na pointi zinaruhusu MD .Kama huna PCB form six anzie Diploma in clinical medicine kufikia ndoto zako
 
BMH wanahitaji medics watoe kozi ya mwaka mmoja kwenye US naomba nijue faida zake hio program mpya
 
Form hii hapa
 

Attachments

  • APPLICATION FORM ULTRASOUND ONE YEAR PROGRAM.pdf
    1.1 MB · Views: 18
Kwani mhandisi umekosa kabisa kazi au? Kwa sababu una background ya eng nakushauri ukasome Biomedical Engineering Diploma chuo cha DIT au Arusha Tech utapata kazi
Field za kozi ya biomedical huwa ni wap fafanua japo kidogo
 
Hivi ni kweli ndugu yetu umemaliza degree ya hiyo kitu uliyotaja? Kama kweli umemaliza na hiki unachouliza basi kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa Elimu kuanzia vidudu mpaka huko ulikomaliza degree yako
Nafikiri wewe ndiye mwenye matatizo ya ukosefu wa exposure za nchi , umeengalia mazingira ya Tanzania tu .Anacho kifikiria hakijawahi kuwa ajabu kwa nchi za zilizoendelea nikawaida kabisa. Lakini kwa kuwa wewe unachokifikiria ni hela tu utamuona wa tahiri asiye na akili.
 
Back
Top Bottom