Natafuta sehemu yakujitolea. Nina Diploma ya Clinical Medicine

kiula-joshua

New Member
Nov 10, 2023
1
2
Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana 23(umri)nipo mkoa wa Kilimanjaro, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (afisa tabibu,clinical officer) katika ngazi ya Diploma, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe zahanati au kituo cha afya.

Nipo registered with valid practice license.

Simu: 0716733086/ 0734647031
 
Pita pita na telegram.
Tanga bombo waitoa ajira za mkataba uliomba? Njombe je?

Kila laheri
Habari wana JF, rejea na kichwa cha habari hapo juu,

Mimi ni kijana 23(umri)nipo mkoa wa Kilimanjaro, nimemaliza Chuo mwaka Jana(2023), nimesoma kozi ya clinical medicine (afisa tabibu,clinical officer) katika ngazi ya Diploma, hivyo Basi nilikuwa naomba/ natafuta nafasi ya kujitolea iwe zahanati au kituo cha afya.

Nipo registered with valid practice license.

Simu: 0716733086/ 0734647031
.
 
Back
Top Bottom