jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,132
- 8,655
dogo siku nampeleka chuo mloganzira mixer mafagio,ndoo majembe nilicheka mnoooHivi kumbe huko diploma huwa kuna mambo ya kitoto toto hivyo?
ukizingatia alikuwa anajifanya sharobaro
dogo siku nampeleka chuo mloganzira mixer mafagio,ndoo majembe nilicheka mnoooHivi kumbe huko diploma huwa kuna mambo ya kitoto toto hivyo?
Hahahahah kwaiyo kusoma nje ndio kumekusaidia kurudi kusoma diploma?
ACHA USHAMBA WA ELIMU,, MIMI SIJASOMA DIPLOMA NIMESOMA DEGREE(MD) ,NIMEKWAMBIA UNAUSHMBA KWASABABU MAZINGIRA YAKO NIYA HAPPA HAPA TANZANIA,HUJAWAHI KUFIKA HATA KENYA UKAONA WNAVYO SOMA WITH MULTPROFESSIONAL NA HUWEZI KUSHINDANA NAO KWENYE HUMANITARIAN JOBSHahahahah kwaiyo kusoma nje ndio kumekusaidia kurudi kusoma diploma

Chu cha diploma cha udom kinaitwaje??Kwa dodoma kuna udom, pale diploma zao za afya zipo chini ya TCU na wanakuchagua endapo utakua na chet cha form six na form four. kozi zilizopo ni: Diploma in pharmacy , Diploma in medical laboratory technology na Diploma in nursing. Pale udom hakuna mambo ya kuvaa sare kama nacte pale unavaa kinyumbani kama unasoma degree
Vigezo kwa form four minimum uwe na C nne za Phy,chem,bio na math
Kwa muhimbili sijajua ila pia kuna kozi za diploma zipo chini ya TCU kama mionzi n.k
Dah acha tu dada, unapata kazi za offer ya laki 5Mkuu degree ya engineering unarudi kusoma diploma tena ya wito. Nini kimekukuta mpaka umekua hivyo???
Nimekuelewa bro, lakini moyo wangu namba one upo kozi ya Astrophysics, namba mbili ni neuroscience namba tatu ndiyo medicine.HUWEZI KUJUA,MOYO WA MTU ULIPO NDIPO NA HAZINA YAKE ILIPO .USILAZIMISHE TUFANANE .
Dah, nilifikiria sana hili..ila nikakumbuka kwenye kuomba sensa watu wenye masters walikuwa kibao tu.😆 😆 😆 😆 😆 Nacheka kama mazuri mkuu achana na maswala ya kurudi nyuma pambana huko huko juu Kapige masters
RealityEngineering (UDSM) ?? halafu uantaka kusoma diploma ya afya? nini kimekukuta wewe
sawa, ila probebility ya mtu wa afya kuwa bira bira ni ndogo ukicompare na engineering kwa sasaengineering gani hiyo mpaka umekwama kiasi hicho??? mkuu tatizo umekaririshwa mafanikio yapo kwenye elimu ila trust me unaweza soma hiyo AFYA na bado mambo yakawa bira biraaa..
uliza daktari alieajiriwa kwenye polyclinic analipwa sh ngapi??Dah acha tu dada, unapata kazi za offer ya laki 5
Ukichelewa kuapply ila ndani ya deadline unakosa?? Hata kama una vyeti vizuri?Yah mkuu dirisha lipo wazi kwa sasa cha muhimu afanye application mapema maana competition ni kubwa.
ila polyclinic zipo kibaaao...ukizinguliwa huku unaruka nyingine. plus unawezahauko limited to hospitals tu unaweza kuomba hata Health organizations eg. MSF,UNCHR,nk. nk.uliza daktari alieajiriwa kwenye polyclinic analipwa sh ngapi??
Acha kuwaza kimaskini rafiki. Hizo dispensali zinaingiza sh ngapi?? Kwa mwezi. Utaiba nini hapo. Kwanini unataka kutengeneza kizazi maskini maskini miaka, nenda rudi. Baba yake mmimiliki wa Facebook alikua dakitari, akamhimiza dogo asome kompyuta. Dogo ndio kaleta utajiri home. Achana na kozi za kimaskini. Think big. Ukishaajiriwa hospitalini then?????? Embu mrudie Mungu wako, uanze upya, umeshindwa hata kwenda ofisi za CCM na degree yako ya engineeringila polyclinic zipo kibaaao...ukizinguliwa huku unaruka nyingine. plus unawezahauko limited to hospitals tu unaweza kuomba hata Health organizations eg. MSF,UNCHR,nk. nk.
Umesoma engineering gani kama ambayo unalipwa laki tano???Dah acha tu dada, unapata kazi za offer ya laki 5
Chuo mloganzila? Chuo gani hicho ?dogo siku nampeleka chuo mloganzira mixer mafagio,ndoo majembe nilicheka mnooo
ukizingatia alikuwa anajifanya sharobaro
Mwambieni kabisa huku njaa tu asije akalaumu serikali baadaeMkuu degree ya engineering unarudi kusoma diploma tena ya wito. Nini kimekukuta mpaka umekua hivyo???
Kama una ufaulu mzuri wa Physics,Bios na Chemistry Omba Benjamin Mkapa usome Radiology hautojuta.Nimekuelewa bro, lakini moyo wangu namba one upo kozi ya Astrophysics, namba mbili ni neuroscience namba tatu ndiyo medicine.
ila nimefuata namba 3 maana nchi tuliyopo unaijua
Aende kanisani, haoni mbele jamani.Mwambieni kabisa huku njaa tu asije akalaumu serikali baadae