Mnyunguli
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,207
- 5,808
Wanazengo naomba kujua ni chuo gan kinatoa hiyo kozi ya Mineral processing ngazi ya diploma (stashahada).
Bodi ya mikopo inayotoa mikopo kwa diploma wamesema hii kozi itapewa kipaombele ila mpaka sasa sijaiona inatolewa chuo gani, nimewauliza National Council for Technical Education (NACTE) kuhusu hiyo kozi ya diploma kuwa inatolewa chuo gani nao wanashangaa.
Zingatia kozi ni mineral processing kama ilivyoelekezwa.
Kozi nyingine ni ya railway constructions and maintanance hii nayo sijui inatolewa wapi....Mtalaamu anayejua anisadie