Chuo gani cha afya ni kizuri kusoma Diploma ya Clinical Officer?

She Quoted you

JF-Expert Member
Oct 19, 2020
687
1,163
Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu.

Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply?

Namaanisha uzuri wa mazingira ya ufundishaji na pia ufaulishaji.

Nasikia vyuo vya government ndio hufaulisha kuliko private je ni kweli?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom