Khe Khe Khe Khe Khe
KTBFFH
chese ni babalao england
Ndio mtajua nini maana ya Tactical coaches
hongereni sana inauma ila Chelsea job well done Morinho lazima tumor sifa zake vitu nilivyoviona wamemuwekea a suarez watu wawili jengine amehakikisha Raheem hakimbii na mpira hakuna kuingia ndani jengine muhimu Lucas Leo kwa LFC alikuwa mbovu ila alipotolewa Morinho alisema thank akamuweka willian anayetuliza na kucheza kilichobaki Lampard na Matic wamehakikisha mpira hauingii kati, Cole na Azpuliceta wamehakikisha winger za LFC zife kwahili Mwalimu wa Rogers Morinho na Chelsea well done na mashabiki wa Humu welldone wa Chelsea. LFC fan YNWA!
Hongereni Mafioso Chelsick kwa kuwabangua Loser Fools lakini mwaka huu mnatoka patupu. Naona mlikuwa na nyege ya kuwaongezea miaka ya kuchubiri ... ..... .... ... 23 years and still counting.
BTW pamoja na kuzoa point 6 kutoka kwa Mancs na sita nyingine kutoka kwa Loser Fools bado hamtachukua kikombe. You're anti football ... ..... ..... Thats the bottom line.
mmemuona Tomas Kalas jamani future ya huyu mtoto nimeipenda