Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,852
Mkuu Ntuzu umesikika:
heshima kwenu nyote:
Mentor
Kalou
Viol
chelsea fc
na wengine wote ambao temekuwa imara katika kipindi hiki muhimu:
jumatano ni muhimu sana kwetu..
tunahitaji kupambana:
J5 utakua ni usiku Wa furaha Km ilivyokua kwa PSG.
Nafurahi sn kwa jinsi tunavyoweza kusimama imara ktk nyakati zote na kuweza kupana ktk hoja za majirani ambao wanaleta changamoto nyingi!
Wakuu nawapenda sn nyote!