Asante Mkuu!

Nafikiri sasa mmeamini kile tumekua tunasema Mara zote!

Pamoja sn Mkuu

KTBFFH

JOSE THE GREATY

hongereni kwa kuhakikisha kombe linabaki Manchester......khe khe khe khe khe khe khe khe.......dah ila chelsea wakiamua kumfunga mtu,balaa.....10men behind the ball for 90mins!!!!si mchezo....natumaini ATM watanifurahisha jumatano...

khe khe khe khe khe khe
 
"Now we can say we won both matches against
the champions. If the champion is Liverpool, we
won both matches against Liverpool; if the
champion is Man City, we won both matches
against Man City."
 
hongereni kwa kuhakikisha kombe linabaki Manchester......khe khe khe khe khe khe khe khe.......dah ila chelsea wakiamua kumfunga mtu,balaa.....10men behind the ball for 90mins!!!!si mchezo....natumaini ATM watanifurahisha jumatano...

khe khe khe khe khe khe

Bado tu Mkuu unafikiria kua ATM wanaweza kufanya mambo?

Ebu tengua kauli yako tafadhali!
 
kesho mtoto hatumwi dukani bana,

kumbe nyie mnakuja kutuonyesha mziki??
ngoja tuusubilie huo mziki kesho yawezekana mwajua sana kukata mauno.

kwahiyo mkuu Ntuzu mpira sasa NO nimwendo wa mauno tuuu??

leo kaonekana nani anamwaga mauno sana...kwi kwi kwi kwiiiiiiiiii..
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu, achana na huyo rrondo anaonekana ana matatizo kwenye ubongo, samahani lakini......Wenzie wote wameufyata yy ndio kaamua kubwabwaja..............J5, ataingia mitini huyo.
Wapinzani bwana huwa hawakosi neno.... Ukitembea juu ya maji, watakwambia sio vizuri kwasababu hujui kuogelea.
Walianza kwa galta, psg, liver, kote huko wamekaa, sasa wamekimbilia atletico.
Kifupi hawana jipya, watakaa pia..Chelsea ni baba lao
 
Mkuu nimekuelewa! Ngoja nimuache!

Jibu lake ni Hili hapa!

No Cech
No Terry
No Ramires
No Oscar
No Hazard
No Luiz
No Cahill from the start of game
No Willian from the start of game
And We have played AWAY. still we've won a game!

osokonoi nilimwambia hizo tathmini zake zitabaki hapa jf. Nafikiri ameona mwenyewe na milingayo Yake!
 
Last edited by a moderator:
natoa hongera kwako Ntuzu, gemu imekwisha sio rahisi kwa Liverpool kurejesha hasa ukitilia shaka na uchezaji wa Chelsea wa kuweka basi nyuma na Liverpool kupata magoli kipindi cha kwanza na kulinda kwenye kipindi cha pili na wakijaribu kushambulia kipindi cha pili ndio itakula kwao
Hongera kwa kuweka ubingwa kwa Man City wazi kabisa

Bhandugu ng'wana Masanja wabheja sn ngalo!

Mkuu Jose ni kiboko Yao watake wasitake! Maneno yako hapo juu yametimia!
 
Ntuzu agosti 8
nikisoma media za England wengi wanadai kwamba Mechi ya CHELSEA VS LIVERPOOL leo Morinho anacheza mind games,as if atafungwa na liverpool na anaiwaza sana UEFA,but wengi wanasema tusubiri suprise ya hii mechi tuone kitakachotokea

Asanteni wadau kwa kutambua mchango wangu;

cc. Ntuzu.:smile-big:
 
Mkuu agosti 8 Na Mentor na washabiki wote Wa Chelsea nawashukuru sn Na kuwapa hongera kwa kz nzuri ambayo timu yetu imekua inafanya!

Focus yetu kubwa ni CL huku tukiendelea kuwapa presha na kujaribu kushinda game zote za EPL.

J5 tuko home na ATM na tumepumzisha baadhi ya wachezaji ktk game ya Jana na wengine waliingia kunyoosha viungo! Na majeruhi wetu wawili watakuwepo uwanjani j5 Hazard na Eto'o. Tutamkosa Cech, Terry, Lampard Na Obi. Lkn kwa kuwakosa Hawa sio shida kwanini sisi ni timu with special spirit.
 
Mkuu Ntuzu umesikika:

heshima kwenu nyote:
Mentor
Kalou
Viol
chelsea fc
na wengine wote ambao temekuwa imara katika kipindi hiki muhimu:
jumatano ni muhimu sana kwetu..

tunahitaji kupambana::)
 
Back
Top Bottom