Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

natoa hongera kwako Ntuzu, gemu imekwisha sio rahisi kwa Liverpool kurejesha hasa ukitilia shaka na uchezaji wa Chelsea wa kuweka basi nyuma na Liverpool kupata magoli kipindi cha kwanza na kulinda kwenye kipindi cha pili na wakijaribu kushambulia kipindi cha pili ndio itakula kwao
Hongera kwa kuweka ubingwa kwa Man City wazi kabisa
 
mourinho naomba upaki malori yote ya bandarini ziba na treni zote za mwakyembe halafu malizia na lile meli concrd italia
 
Mpaka sasa walioibuka kutoka mafichoni ni chambo tu wahusika wakuu bado hawajaibuka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom