Si kiungo mkabaji, anaunganisha midfield na defence
Hapa Chelsea ndio analazimishwa na ndio maana anacheza vibaya
Caicedo ni box to box midfielder ambaye anacheza mbele zaidi, Ana uwezo wa kukaba lakini anakuwa mzuri akisaidia mashabulizi. Unaweza ita CM maana box to box wengi ni CM. Enzo anajua kukaba zaidi ya Caicedo na kilio ya wengi ni Enzo acheze deep amuachie Caicedo acheza advanced roles
 
Ahsanteni wamiliki kwa MAAMUZI yenu ya ovyo kwenye kuendesha hii timu, Ahsanteni pia kwa kuifanya THE BLUES mid table team.

Nimekubali matokeo nimenyoosha mikono juu.



images%20(2).jpg
 
Akicheza no. 10 au wide winger Jackson anawazidi wengi pale kwa sababu kuu chache

Ana uwezo wa kupokonya mipira
Ana uwezo wa kuhold mpira
Ana uwezo wa kuwatoka mabeki na kutoa assists au strategic passes
Jackson hapendi pasi za kinyumenyume
Bado ni mdogo na ataendelea kukomaa
Tatizo lake kubwa hana confidence na goli basi hapo tu
Hakuna mchezaji hapo
 
Vijana wa kubet hii timu isipowatajirisha ndio basi tena kwenye mechi tano zijazo ni mechi moja tu ndio inaweza pata sare dhidi ya crystal Palace nyingine kama kocha bado ndio huyu msije sema hatukuwaambia
Screenshot_20240204_185500_LiveScore.jpg
 
Back
Top Bottom